Sony smartphone za mwanzo zilikuwa miyeyusho. Hio simu ina bootloop problem suluhisho ni kuiflash ikibidi badilisha na rom kabisa. Kuhusu battery nazo zilikuwa bomu sana so nahisi hio yako ishakufa.
Kwa kuzingatia kanuni ya opportunity cost nadhani ingekuwa busara zaidi kununua simu ambayo ni current zaidi na si kutengeneza hio kuukuu in case unaipenda brand ya sony.
Matoleo ya Sony hasa Z series ndio yapo poa nshatumia Z1,Z2 na sahivi nipo C series nna xperia C3 haina tatizo battery bomba sana!