Sony vaio

Huu ni mwaka wangu wa 5 nikizitumia.
The best, alimradi tu upate yenye specifications nzuri.
 
duh, hili swali tumeliongelea mno hapa Jamvii mpaka linanichosha. hamna brand iliyozidi nyingine, iwe Toshiba, iweapple, au Sony, Samsung, HP, Acer.. kama kuna VAIO umeona unataka kuchukua lakini hujui ubora wake, weka hapa model yake wataalamu kama mie watakuchambulia la kutosha. lakini ukiuliza kama VAIO ni nzuri ni sawa na kuuliza kama kuishi Dar ni kuzuri. Duh..
 
ram yake ni 6gb,hard dsk ni 640gb na processor yake ni 2.4ghz,,,....inafaa?
 
inatakiwa iwe na model kama hivi.. sony VAIO vpcw216ag

angalia pale chini ya screen au geuza. bado ukikosa chomoa na battery yakehukosi model namba kwote huko
 
Maswali mengine bana umeshasikia ni sony wasi wasi wako ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…