Namba inasomeka hadi za kirumi na kiarabu!Sony smart tv,inatumia wireless ina apps za ku stream videos YouTube, movies na hata baadhi ya tv station unaweza watch online
Bei ni Tsh2,500,000
![]()
![]()
Ukiona kitabu hukielewi hujaandikiwa wewe.Hiyo pesa ningekuwa nshanunua kiwanja na nimeanza kujenga
Be realistic. Used 40" smart tv 2.5m? I got new one last week 49" 4k smart tv UHD for only 1.8m.Sony smart tv,inatumia wireless ina apps za ku stream videos YouTube, movies na hata baadhi ya tv station unaweza watch online
Bei ni Tsh2,500,000
![]()
![]()