Sony Ericson carrier network unlock

Sony Ericson carrier network unlock

Magari damu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
443
Reaction score
778
Wakuu habarini,

Niko na hii simu aina ya Sony Ericson ilitoka Germany, sasa noma ni kwamba network yake iko locked kwa line za huko Ujerumani.

Kunaeza kua na yeyote mwenye idea ya jinsi ya kuweza kui-unlock?
Natanguliza shukran.

NB;
Hio picha nlioattach inaonesha inahitaji sim card, Kuna sim card ipo tayari ila inaonesha inahitaji sim card sababu haiezi soma line za huku mpaka iwe unlocked.

IMG-20220419-WA0016.jpg
 
Wapelekee mafundi simu wanaweza kuiunlock...
 
Hiyo tu kumbe lakini unapouliza swali kama hili picha ya simu haitoshi andika model yake ili tuone inatoka kwa kutumia nini.....?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom