Sony bravia LED inch 32 inauzwa

scot

Senior Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
126
Reaction score
52
Nauza Sony bravia 4k za mwaka jana inch 32..nmenunua mwaka jana mwezi was 11..bei ni laki 5 na nusu..haina tatizo lolote..kwa anaehitaji anipm
 
nitumie picha yake kwa no 0714478797 alafu tuongee biashara,kama ina Hdmi na ports za usb zisipungue mbili
 
Picha zake hzo wadau
 
Attachments

  • 1422970867032.jpg
    35.5 KB · Views: 670
  • 1422970898257.jpg
    45.2 KB · Views: 606
Nauza Sony bravia 4k za mwaka jana inch 32..nmenunua mwaka jana mwezi was 11..bei ni laki 5 na nusu..haina tatizo lolote..kwa anaehitaji anipm
Kaka upo wapi mimi nipo arusha, je box lake lipo mana ntaisafirisha kwenda mikoani.
 
Ebu kaulzie dukan alaf ndo urud tena... Apo haishuki mkuu

kwani hapa ni dukani?,bei ya dukani na bei ya mkononi ni totauti,dukani wanalipa kodi tra,wanalipa pango,wanalipa wafanyakazi,hope umeona tofauti
 
kwani hapa ni dukani?,bei ya dukani na bei ya mkononi ni totauti,dukani wanalipa kodi tra,wanalipa pango,wanalipa wafanyakazi,hope umeona tofauti

Ndo maan nkasema aliyeserious anifte inbox kwa maelewano..hulazimishwi kak,alaf bila Shaka hujui hyo tv..ni 4k zilzokuwa znatangazwa kombe la dunia sio zile za mwanza,aya nenda na pesa hyo kachukue dukan
 
halafu utannua wapi movie za 4k kuangalia?
 
halafu utannua wapi movie za 4k kuangalia?

Kwani lazima utumie movie za 4k...kwan ukinunua deck ya DVD player lazma utumie DVD kam hauna c unatumia ata vcd..haimaniish kwamba inatumia movie za 4k 2pu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…