Sony bravia 32'

Kifuniko

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
97
Reaction score
18
Naombeni msaada kama kuna mtu anajua agent wa SONY kwa Tanzania nitawapa wapi wanipe msaada kitaalamu LCD yangu haiwaki inaonyesha taa red kama iko Standby mode lakini ukitumia remote kuwasha inakuja green kama inawaka then inarudi red, nitangulize shukrani kwa msaada wenu.
 
Ipeleke Workshop ya Sony Service Center eneo la Mwenge njia ya Coca Cola ghorofa jeupe kwenye kona ya pili kuelekea Clouds Radio/TV, ua ipeleke pale Freedom Electronic ya JM Mall, Mtaa wa Samora kuna workshop yao Mlango wa pili upande wa Kushoto kuekea Posta.

Angalizo!. Kote kuwili cost ya maitainance ni 1/3 ya bei ya manunuzi, wanadai Tanzania hakuna repair ya display bali ni replacement only!.
 
kabla ya kupeleka kwa fundi soma mnua u soma tovuti ya sony na wasiliana nao waushauri wa itaalam. Namin una onlne comunication.

Simple gogling imenileta kwenye ujumbe huu kuhusu baadhi ya sony bravia

So depending ulinunua lini na model yenyewe nakushauri wasilina na sonyikwenye tovuti kwenye sehemu ya suppporrt kwanza ili hata ukienda kwa fundi uwe na taarifa kiasi fulani. Usije ukapelea kwaa fundi akakucharge kwa vitu amabvyo na yeye alitumiwa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…