Used camera sony a200 inauzwa kwa sh 350,000/-,10MP,ina lens kila kitu ni pm
kama hauko serious ni vizuri ukawa unapita tuChukua 200 ndugu
Poa, ila biashara kuna kuelewana na kama bei haifai unamwambia mteja ofa yake haifai, ili aongezeau laa.kama hauko serious ni vizuri ukawa unapita tu
bei haishuki ni hiyo hiyo niliyowekaPoa, ila biashara kuna kuelewana na kama bei haifai unamwambia mteja ofa yake haifai, ili aongezeau laa.
Chukua 200 ndugu
huwezi kupata kwa laki 2cheki me 0717184353
laki mbili haina shida
16 mega pixel
5x optical zoom
25 mm wide range lens
hd movie 720p