Elections 2010 Songea wamvisha mbwa fulana ya picha ya JK!

Nawashauri watani zango wa Bombi, Nyumbi hii, Wasiishie hapo. watunze kadi zao wakapige kura. Ndiyo ukombozi wao. Msiklizeni Dr. Slaa live CLOUDS FM.
 
hii ilitakiwa ifanyike kwa kila jimbo kukomesha huu upuuzi wa fulana. eti ndio kivutio cha kuchagua mtu!!. Fulana ni dalili za rushwa.
 
Mmenikumbusha yule Mbwa Immigration (RIP) wa Sumbawanga,Mbwa aliyevishwa T-shirt Tarime (RIP) Sijui kama huyu wa Songea bado yupo hai...
 
Back
Top Bottom