Waendesha boda boda wananguvu kuliko polisi kwani utakuta parking zao za kusubiria wateja haziko rasmi kwa mfano ukitaka kuingia uwanja wa majimaji upande wa salama guest house wanaziba njia na hata petrol station za kisuma pai na mdaula kote wako wao tu na sehemu zinginezo je kwa maana hiyo jeshi la polisi halioni hayo?
Au huo ni ufanyaji biashara bila ya kufuata sheria
Au huo ni ufanyaji biashara bila ya kufuata sheria