frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
we acha utan wakat mi npo na mke wangu saiz na co mda mref napata kitu roho inapenda
Duh!!!???
we acha utan wakat mi npo na mke wangu saiz na co mda mref napata kitu roho inapenda
Kimsingi dalili za kupigwa mabomu zilionekana hata kabla ya mechi kuanza kati ya Majimaji na Kurugenzi ya Mafinga. Leo polisi waliletwa wengi kias karibu kila mtu kujiuliza kuna nini leo. Mara baada ya mechi kuisha yakaanza malumbano kati ya polisi na watazamaji. Kisa chenyewe hasa ni kuzuia wananchi kupita eneo ambalo kulikuwa na gari la Mbunge Nchimbi. Hapo ikaonekana kana kwamba hawa polisi walikuja kumlinda Nchimbi. Wakaanza kuwazomea na kuwatukana kma vile kuwakejeli kuwa wameshindwa kulinda raia wanapoibiwa na kuvamiwa wanakuja kumlinda mtu ambaye hana madaraka yoyote yale kwa sasa kisa alikwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Hivi sasa polisi wamechukia kuzomewa
Toa taarifa zilizokamilika unakimbilia wapi ?
Haya mada imebadilika imekuwa kupata kitu roho inapenda kwa mkeo, turushie mapicha wakati ukipata hiyo kitu yako.we acha utan wakat mi npo na mke wangu saiz na co mda mref napata kitu roho inapenda
Sikweli Nchimbi Hakuzomewa Mashabiki Wa Majimaji Walitaka Kulipiza Kisasi Kutokana Na Majimaji Kupigwa Walipo Kuwa Iringa Mtoa Habari Acha Chuki Na Uongo Na Ccm Sema Ya Ukweli Na Haki.