jamiimemba
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 156
- 39
Kimsingi dalili za kupigwa mabomu zilionekana hata kabla ya mechi kuanza kati ya Majimaji na Kurugenzi ya Mafinga. Leo polisi waliletwa wengi kias karibu kila mtu kujiuliza kuna nini leo. Mara baada ya mechi kuisha yakaanza malumbano kati ya polisi na watazamaji. Kisa chenyewe hasa ni kuzuia wananchi kupita eneo ambalo kulikuwa na gari la Mbunge Nchimbi. Hapo ikaonekana kana kwamba hawa polisi walikuja kumlinda Nchimbi. Wakaanza kuwazomea na kuwatukana kma vile kuwakejeli kuwa wameshindwa kulinda raia wanapoibiwa na kuvamiwa wanakuja kumlinda mtu ambaye hana madaraka yoyote yale kwa sasa kisa alikwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Hivi sasa polisi wamechukia kuzomewa
Toa taarifa zilizokamilika unakimbilia wapi ?ni vurugu ambazo vinatokea viwanja vya majimaji
Chanzo ni nini?
kulikuwa na mechi kati ya majimaji na kurugenzi
Toa taarifa zilizokamilika unakimbilia wapi ?
mleta mada kakamatwa na polisi, tusubiri akitoka...!ikawaje? fafanua zaidi mkuu.
mleta mada kakamatwa na polisi, tusubiri akitoka...!
Kimsingi dalili za kupigwa mabomu zilionekana hata kabla ya mechi kuanza kati ya Majimaji na Kurugenzi ya Mafinga. Leo polisi waliletwa wengi kias karibu kila mtu kujiuliza kuna nini leo. Mara baada ya mechi kuisha yakaanza malumbano kati ya polisi na watazamaji. Kisa chenyewe hasa ni kuzuia wananchi kupita eneo ambalo kulikuwa na gari la Mbunge Nchimbi. Hapo ikaonekana kana kwamba hawa polisi walikuja kumlinda Nchimbi. Wakaanza kuwazomea na kuwatukana kma vile kuwakejeli kuwa wameshindwa kulinda raia wanapoibiwa na kuvamiwa wanakuja kumlinda mtu ambaye hana madaraka yoyote yale kwa sasa kisa alikwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Hivi sasa polisi wamechukia kuzomewa
Unaenda kuona matcha then wapata suruba ya mabomu
kulikuwa na mechi kati ya majimaji na kurugenzi
na kuna wengne wamepigwa virungu bila hatia
we acha utan wakat mi npo na mke wangu saiz na co mda mref napata kitu roho inapenda