Songea - Madiwani CCM wasusia vikao



Hapo penye nyekundu na blue ni kipimo kwa CCM kama wataweza tafuna mfupa kama chama DUME CHADEMA
 
Kwa hili la kumchagua meya darasa la saba, CCM songea (eMANUEL nCHIMBI) wamechemsha. N
 
Jua la mkoloni mweusi linaanza kuzama.
 
Ila ccm kuna vituko, yaani madiwani wa ccm songea wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani tena. Yaani ndani ya chama viogozi wanagomeana sasa nani tena itaiamini ccm ikiwa viongozi wenyewe wanageukana. Serious ccm inakufa.

It is just a matter of time! Soon and very soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…