Maji yalikuwaga shida kipindi flan shadufu imekufa tunaenda chota maji mtoni yanavyura dah yale maisha aseh
Mayao tulikuwa tu nanunua sh 10 sahani ya wali 250/=
Nimeenda sana bustani chunga sana ng'ombe tulikuwa tunaenda na chupa zetu tunakamua maziwa tunajaza tunaficha tukirudisha tunapewa tena hahaaaa