Songa, p the Mc na Nash Mc

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,610
Reaction score
10,481
Kusema kweli hawa jamaa wa Tamaduni Music nawaelewa sana, uandishi wao, beat wanazotembea nazo na content/maudhui wanayoimba huwa nabarikiwa sana.

Na hivi Niko zangu geto nasikiliza ENZI ZA UTOTO yake SONGA huku natabasamu nyuma ya keyboard
 
Hivi mnaukumbuka mlima oldonyo lengai, mlima wa mungu uliopewa jina la kimasai/
 
Cheki cypher ya castle lite unlocks YouTube uone kizazi kipya cha rap
 
Kusema kweli hawa jamaa wa Tamaduni Music nawaelewa sana, uandishi wao, beat wanazotembea nazo na content/maudhui wanayoimba huwa nabarikiwa sana.

Na hivi Niko zangu geto nasikiliza ENZI ZA UTOTO yake SONGA huku natabasamu nyuma ya keyboard
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…