Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
AminaAmina. Wewe jamaa una karama ya kutia moyo. Endelea kuitumia kwa utukufu wa Bwana.
Kweli mkuuKikubwa ni kuvumilia hasa ktk kipindi kile kugumu cha muda, hapa ndipo watu huita majaribu.
Maneno ya faraja sana haya."Unaweza kumshusha mtu yeyote lakini sio anaemtegemea Mungu. Ule muda unadhani umemuweza ndio muda ambao anainuliwa. Waliomtumbukiza Yusufu shimoni, walidhani wamemuweza lakini ilikua ndio njia ya kuelekea kuwa waziri mkuu. Cha kufurahisha ni kwamba wale wale waliomuhujumu walikuja kumpigia magoti kwa aibu na kwa machozi!Mja wa Mwenyezi Mungu huwa hazuiliki, no matter what, no matter where atang'aa tu. Kama kuna mahali umeonewa just relax, muda unakuja watajua wewe ni nani."
Habari za Asubuhi.