SONG AZIPIGA na PIQUE

Wao wanajuana siyo issue baba shakra aache mpira maana mahaba tayari yamemzidia......! Kiuno cha shakra siyo mchezo,,,,,
 
Haya, kwa kheri Alex Song, soka kwisha kabisa -wapo wapi Alexander Hleb, Mathieu Flamini, Cesc Fabregas, tunasubiri RVP 2014 itakuwaje
 
Haya, kwa kheri Alex Song, soka kwisha kabisa -wapo wapi Alexander Hleb, Mathieu Flamini, Cesc Fabregas, tunasubiri RVP 2014 itakuwaje

mkuu hao ulitaja wote isipokuwa Alexandra Hleb wamepata mafanikio/vikombe kwenye vilabu walivyoenda. Wangekuwa pale Arsenal wangekuwa hawana hata kombe la mbuzi!
 
Catalunya hoyeeeeeeeee:yell:
 
mkuu hao ulitaja wote isipokuwa Alexandra Hleb wamepata mafanikio/vikombe kwenye vilabu walivyoenda. Wangekuwa pale Arsenal wangekuwa hawana hata kombe la mbuzi!
Hahahahahahaahha! Vikombe vya Upako! Aliyetiol kwa vikombe ni RVP peke yake hao wengine kazi wamefanyiwa, nambie Song amecheza game ngapi, Flamin na hata Cesc? Kama ni Hleb basi alipata Carling cup akiwa na Birmingham

Hao ni wanyonyaji bhana, Parasites
 
haya semeni chanzo cha ugomvi!
 
Chezea kichapo cha goli 7 toka kwa Bayern wewe, hata ingekuwa mimi lazima ningechanganyikiwa!Barcelona chaliiiiiii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…