bless on JF-Expert Member Joined May 22, 2026 Posts 876 Reaction score 2,121 Sep 4, 2026 #1 Anitengenezee Kitu kama hichi kiwe Cha silver anipe na gharama yake kwa Sasa kinahitajika kimoja haraka Lakini baadae vitahitajika vingi.
Anitengenezee Kitu kama hichi kiwe Cha silver anipe na gharama yake kwa Sasa kinahitajika kimoja haraka Lakini baadae vitahitajika vingi.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,568 Reaction score 9,435 Sep 4, 2026 #2 wanakuja
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,786 Reaction score 24,191 Sep 4, 2026 #3 Kimoja ntakutengenezea kwa milioni 3 na nusu kwa heshima ya jf
bless on JF-Expert Member Joined May 22, 2026 Posts 876 Reaction score 2,121 Sep 4, 2026 Thread starter #4 Medecin said: Kimoja ntakutengenezea kwa milioni 3 na nusu kwa heshima ya jf Click to expand... Nahitaji cheni iwe na hicho Kitu utatumia madini gani kwa bei hiyo?
Medecin said: Kimoja ntakutengenezea kwa milioni 3 na nusu kwa heshima ya jf Click to expand... Nahitaji cheni iwe na hicho Kitu utatumia madini gani kwa bei hiyo?