Somo zuri kwa Watanzania..!

TrueVoter

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2008
Posts
4,434
Reaction score
5,634
Your browser is not able to display this video.

Nchi ndogo km Botswana inaingia mara 20 kwa Tanzania..lkn wanaweza kuheshimiana, viongozi wanawaheshimu raia na raia wanaheshimu viongozi..appointments zinafanyika kwa merits..huwezi tarajia kwa mtu mwenye background km hii ya Profesa Kenosi aelekeze watu/raia wakosoaji wa serikali kutekwa, kuuawa, kuteswa nk badala ya kushughulikia matishio ya nchi kiuchumi, kiteknolojia nk kutoka mataifa ya nje..appointments za Tanzania sifa ya kwanza wewe ni dini gani..! Ma-DGIS 3 walioondolewa na huyu aliyepo wote ni wa dini moja..matokeo yake idara hii imegeuka genge la wahalifu dhidi ya raia wanaowatunza wao na familia zao..
Km wana akili ya kujifunza, mfano huu kutoka Botswana ni mzuri kwao kujifunza..!
 
๐–๐‡๐€๐“ ๐˜๐Ž๐” ๐๐„๐„๐ƒ ๐“๐Ž ๐Š๐๐Ž๐– ๐€๐๐Ž๐”๐“ ๐ƒ๐‘ ๐‹๐„๐Š๐Ž๐Š๐Ž ๐Š๐„๐๐Ž๐’๐ˆ, ๐๐„๐– ๐ƒ๐ˆ๐’ ๐๐Ž๐’๐’
๐๐ซ๐ž๐ฏ๐ข๐จ๐ฎ๐ฌ ๐ฃ๐จ๐›: Botswanaโ€™s Ambassador to China
๐„๐๐ฎ๐œ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง:
BA, University of Botswana
Masterโ€™s in Archival Studies, University of British Columbia (Canada)
PhD in Information Science, University of Pittsburgh (USA)
US Fulbright Scholar
๐–๐จ๐ซ๐ค ๐ก๐ข๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ฒ:
Lecturer, University of Botswana
University Archivist, KAUST (Saudi Arabia)
Head of Archives, Qatar Foundation
Associate Professor, Zayed University (UAE)
Ambassador to China (2026)
๐„๐ฑ๐ฉ๐ž๐ซ๐ญ๐ข๐ฌ๐ž: Archives, records management, electronic records...
Kwa Tanzania ili uajiriwe Tiss lazima sifa zifuatazo uwe nazo..
1. Dini yako: mpagani/dini popo
2. Kabila: baadhi ya zile za mkoa wa mara
3. Hulka: uwe mkatili, mlevi, mvuta bangi, mzinzi/mwasherati
4. Elimu: ya sekondari kushuka chini
5. Itikadi: mwana ccm
6.Uzoefu: chawa, mpenda majungu, uwezo mkubwa wa kusifia viongozi..
7.
 
TZ 947 303 sq km, population 60
Botswana 581 730 sq km, population 2 359 609 (2022 census)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ