Habarini wana jamvi
Mimi kama mwanafamilia ya mabadiliko natambua na kuheshimu sana jitihada za wazi anazozifanya rais mpya wa.awamu ya tano mh DR John Pombe Magufuli katka kufanya kile tunwchoweza kukiita kuwavusha watanzania kuelekea ktk nchi ya ahadi
Kwa namna yyte ile mafanikio ya Magufuli ktk utendaji wake yanaweza kuwa kikwazo ktk kuujenga upinzani nchini na hata kufuta kabisa ndoto ya wapinzan siku moja kuja kushika dora hii ni kwa sabab zifuatazo
1-wakati magufuli akiwa busy kucheza na akili za watanzania kwa kula sahan moja na wanahabari wapinzani wako busy kuendeleza siasa za chuki,fitna,na mamb yasiyojenga upinzan kwa ujumla na kudhihirisha kwa umma wa watz wenye uelewa wa kati kwamba vyama vya upinzan n magenge ya wahuni kweli
2-Magufuli anatambua fika ushindi ambao ccm ilipata wa 58% ulitokana na jasho jingi lililokwagika kw upande wa chama chake hivyo hatokua na mchezo kwa atayeonekana kukwamisha jitihada za kujijenga upya chama chake hivyo ulikua n wakati mwafaka kwa upinzani kujiangalia upya kuliko kuendekeza mamb yasiyo na tija ....
3-magufuli ni bingwa sana wa kucheza na akili za watu kwakua kama sehem ya utatuzi wa kero zao so wapinzan wakikaa vibaya 2020 atapita bila kupingwa
NAWASILISHA HOJA