Somo la Usaliti Clouds FM

Somo la Usaliti Clouds FM

mpiga domo

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
852
Reaction score
1,507
Habari Wakuu,

Huyu Yuda anayeongelewa kipindi hichi Clouds FM sasa hivi ni nani. Huyu Yuda inasemekana walipanga jambo na wenzake ila akawasiliti.

Somo la Pasaka hii ni Usaliti. Yuda huyu anayeongelewa kwenye hichi kipindi cha Clouds FM ni Yuda huyu wa kwenye biblia au ni mwingine? Kwasababu huyu askofu anasema dhambi inayoangamiza taifa letu ni dhambi ya usaliti.

Je Yuda huyu ni nani jamani?
 
Wanasema huyu Yuda ni mtanzania,

Me namjua Yuda wa Israeli tu, Huyu wa Kibongo simjui labda wazid kufafanua.
 
Wanasema usaliti katika uongozi wa dini si mzuri
 
Mna uhakiaka gani kama in Pengo,acheni kupiga ramli,na hata ikiwa ni yeyenyie inawahusu nini si mumuache na sisiemu yake
 
Back
Top Bottom