mimikapeople
Member
- Apr 28, 2015
- 27
- 34
Ningependa kushare nanyi hiki hasa kwa sisi ambao hatujaolewa.unapotaka kuoa au kuolewa inabidi tuwe makini sana kwenye kuchagua na tuwe tumeshaandaa mazingira ya kupokea...kuna zambi ya uzinzi ambayo mungu anachukizwa nao tuache uzinzi na pia tutubu kwa uzinzi tuliofanya na kuanza maisha mapya....apo utakuwa upo tayar kupokea mke au mume ambae mungu amekuandalia...na mume au mke toka kwa mungu kunakuwa hakuna haja ya kasema et tunasomana tabia ni mambo tu yataenda straight.. Tubadili mienendo yetu ili tuwe tayar kupokea mke au mume toka kwa mungu