Somo la Physics, Chemistry Mazengo Secondary

Hahahaaaaa mkuu mimi nilikutana na Chitinde kwenye Physics full siasa, na Makunja kwenye # Kwa sasa ni DEO Serengeti aka best wa Mwiguru
 
Hahah nikiwasoma humu nakuwa kama nawaona hao walimu, maana nilikuwa kijana wa kota pale... loong time
 
Mkuu mazengo Noma Sana, ndio maana jamaa zetu wengi waliamia tambaza , tosa , mkwawa etc , mgalula kwenye physics alikuwa anajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…