So, who is a king?Angalia kea makini picha hii
Chatu kamkaba mfalme cobra huku mfalme cobra akimng'ata chatu..Nyoka wote wawili walikufa, mmoja kutokana na kukosa hewa na mwingine kutokana na sumu.
Na hivi ndivyo watu wanavyoangamizana. Urafiki huisha
uhusiano huisha
Familia huishia kuharibikiwa kwa sababu kila mmoja anataka kuwa bora kuliko mwingine.
Baadhi ya watu "hujaribu" kwa ubinafsi wao na kujiona wao ni bora kuliko wengine!.. wengine huishia kueneza sumu za ubaya na mafarakano kwa porojo, umbea,husuda, wivu, kijicho na udanganyifu hadi kuangamizana.
Chagua upendo, huruma, uaminifu, ukweli na msamaha .. Utaona faida yake kwenye maisha yako kupitia, ndugu, familia, jamaa na hata marafikiView attachment 3305845
Unaweza kuwa na kiburi na kujiamini kama nyegere lakini fanya hayo pale unapotaka kupigania heshima na ustawi wa familia, ukoo ama jamii yakoView attachment 3305846
SawaNicheki kukipambazuka nitakuwa hewani
Utakuwa hewani kwa namba gani mkuu?Nicheki kukipambazuka nitakuwa hewani
Nimechagua mkuu...kikubwa tupunguze maisha ya drama mitandaoni....haionyeshi kukuaChagua upendo, huruma, uaminifu, ukweli na msamaha .. Utaona faida yake kwenye maisha yako kupitia, ndugu, familia, jamaa na hata marafiki
Weweeeeh kidogo nitupe simu π΅Baby Nana njoo uone picha na usome ujumbe
ππ Acha uoga.Weweeeeh kidogo nitupe simu π΅
Angalia kwa makini picha hii
Chatu kamkaba mfalme cobra huku mfalme cobra akimng'ata chatu..Nyoka wote wawili walikufa, mmoja kutokana na kukosa hewa na mwingine kutokana na sumu.
Na hivi ndivyo watu wanavyoangamizana. Urafiki huisha
uhusiano huisha
Familia huishia kuharibikiwa kwa sababu kila mmoja anataka kuwa bora kuliko mwingine.
Baadhi ya watu "hujaribu" kwa ubinafsi wao na kujiona wao ni bora kuliko wengine!.. wengine huishia kueneza sumu za ubaya na mafarakano kwa porojo, umbea,husuda, wivu, kijicho na udanganyifu hadi kuangamizana.
Safi sana. Nimeipenda. Hii π π ndo HEKIMA kwa uhalisia wake.Chagua upendo, huruma, uaminifu, ukweli na msamaha .. Utaona faida yake kwenye maisha yako kupitia, ndugu, familia, jamaa na hata marafiki
Nyegere (Honey badger)ni immune au resistant kwa sumu ya nyoka.View attachment 3305845
Unaweza kuwa na kiburi na kujiamini kama nyegere lakini fanya hayo pale unapotaka kupigania heshima na ustawi wa familia, ukoo ama jamii yakoView attachment 3305846