Huu uzi ni wa KIPUUZI....
Yaani badala ya kupeana somo tuishi vipi kwenye ndoa zetu tunafundishana kucheat...
Hebu tujifunze kutoka kwa bibi zetu ambao wamedumu na babu zetu hadi leo...sio kama wanaume walikua hawana maudhi that time lahasha walikua nayo mengi pengine kuliko wanaume wa sasa ila walikua wana busara sana na kufanya kila njia kuboresha ndoa zao na kusameheana n.k....
Mie mshamba....
Hapana we sio mshamba, Bali unaona Kwa usahihi jambo hili, hujavaa miwani kama mleta maada .
kujenga ndoa ni kama kujenga nyumba kwa kufuata mchoro sahihi ulioiweka siku ya kwanza. Ukiona ramani haifai na wakati ndo unamalizia nyumba kupaka ranging....!!! Basi wewe hufai kuwa mjenzi.
ku cheat kama mleta maada alivyopendekeza utasababisha cracks kwenye nyumba yako. Hutajua shida itaanzia wapi!
Huyu jamaa
Kapendekeza Shida tatu tu......!
Lakini
Je habari ya third party (Mtu wa tatu Kuwaona mnayoyafanya?) Hajatuonya....!!!
Je habari ya self consciousness (mtu kujiona matendo yako kwa ndani) jinsi ulivyo na unavyotenda. Hajatuonya....!!!
Je Habari ya self image (utajionaje mbele ya mume wako baada ya ku cheat?)hajatuonya...!!!
hajaongelea habari za accidental penetration......condoms ruptures .....na mengine mengi kuhalalisha cheattig.
Mwenye macho haambiwi tazama....
Huyu mtu anawadanganya bado.JARIBU TENA BAADAYE