BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Tatizo lenu mnataka kuwa sawa na sisi kitu ambacho hakiwezekani milele Evelyn Salt
Huwezi kuibadili Moja kuwa mbiili hata siku moja mama!
Kubalini status yenu maisha yaendelee otherwise loser daima ni nyie.
Tatizo lenu mnataka kuwa sawa na sisi kitu ambacho hakiwezekani milele Evelyn Salt
Huwezi kuibadili Moja kuwa mbiili hata siku moja mama!
Kubalini status yenu maisha yaendelee otherwise loser daima ni nyie.
U-mwanamkehiyo 'status' ni ipi?
Kuna wakati mwanamke unampa kila kitu na unaonyesha mapenzi ya kweli kabisa ila yeye anachokufanyia ni ujinga mtupu.Kuwa sawa ni ktu ambacho hakiwezekani daima na milele.....
Wala simpendi mwanamke anaetaka kuwa sawa na mwanaume.
Binafsi ninatambua mwanaume ni kichwa cha familia na haina why hiyo!!!!
The issue is: sweet treatment mnazotaka mpewe wakati hamjali what you are providing kwa wanawake.
Unapenda upendwe, uthaminiwe,uheshimiwe,ujaliwe,ubembelezwe n.k n.k UNAYOTAKA UPEWE WEWE UNATOA? au mliambiwa wanawake hawapendi hayo?
mwaJ kwani si tuna tatizo na nyinyi?
Ila nyie ndio huwa mnaleta mbwembwe majumbani ila najua mtabadilika tu coz wanaume siku hizi tunazidisha jeuri kama anavyofanya Kaizer kaona unaleta longolongo kaamua kwenda zake kwa gfsonwin kujituliza
heheheeee ukimuhitaji wasiliana na huyo mwalimu gfsonwin utampata.
U-mwanamke
Heheheee wasiri ndio wabaya sana coz wanaiba kimyakimya
Amini nakwambia mwanaume ndiye kichwa cha familia.
hiyo 'status' ni ipi?
BADILI TABIA acha kunizingua na maswali yako bhanakwa hiyo definition yako ya uanamke kwenye ndoa na mahusiano ikoje?
Heheheee kwani mnataka sisi ndio tuwe watumwa?Ya kuwa mtumwa.
Ngoja bhana nitamleta naona kanogewa na kabig house kakeWe sasa hufai kabisa! Maneno gani sasa hayo? Aaagh! Bora uache kumtafuta nitamtafuta mwenyewe!
Una safari ndefu best! Muwe vichwa au matumbo bado miongoni mwenu kuna wapumbavu pia!
Heheheee kwani mnataka sisi ndio tuwe watumwa?