wafikishie ujumbe hao,
nione malkia nkuone mfalme sio mie nkuone mfalme we unione kijakazi!! hiyo haipo hata uoe std 7
Mfanyie mazuri uone kama na wewe hutatendewa mazuri.
Nipende nikupende. Niheshimu nikuheshimu. Wajibika nitawajibika. Penye mfalme pana malkia! No more no less!
Somo halijakaa sawa, kaliandae upya!
Utaambiwa unashindana na mwanaume........
Na nikishindana nao lazima nitawashinda! Kwa kipi hasa walichonacho hata wasikosolewe? Maisha ya dot.com wanayataka na hapo hapo ya mwaka 47 wanayataka! Itawezekana vipi?
Hayo maisha ya 47 wanabip tu, enzi hizo mwanamke hafanyi kazi ni maza hausi kwelikweli kuhudumia mme na family inahusu 100 pa.....
Man anaprovide everything kwa family, leo ni mwanaume gani anaetaka maisha hayo?
muombe mwanaume elf kumi tu povu zaidi ya Omo...
Wamama kazi ni kwenu kubadilika.
Wamama kazi ni kwenu kubadilika.
Shiiiiiii! Usiseme zaidi Evelyn Salt maana tutajaambiwa tunadharau.
mwaJ kwani si tuna tatizo na nyinyi?
Tatizo lenu mnataka kuwa sawa na sisi kitu ambacho hakiwezekani milele Evelyn SaltTuishi kitumwa?