Somo kwa akina dada wa kileo

Somo kwa akina dada wa kileo

Man Mudi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
159
Reaction score
114
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili
zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni
walewale kanyaboya wenzako,na
hawana futuretabaki unaliwa bure
kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda
unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na
unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri,la
hasha! Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe wa kike
wakiwa wazuri ni shida na matatizo
hakuna mtu anataka,sasa
ukimwongezea na drama pamoja na
yeye kujigeuza mpalestina kwako
utajikuta umeolewa na kioo cha
chumbani kwako,maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni
mrembo,Watch out,drama zina
mwisho,leo unacheza na mioyo ya
watu unajiona we kifaa,usidhani
wanaume hawaumii,tunaumia sema
hatusemi tu,machozi yetu kama ya
samaki,tunalia ndani kwa ndani
 
Umeumizwa enhee pole kaka, nyanyuka kaza moyo uanze upya. Usidanganye watu wanaume tunapenda warembo bana. Hata watuumize vipi hatukomi.
 
wanawake wengi wanaojiona wazuri hawanaga adabu wana dharau sana wanaume . kuna siku nilimtongoza dada mmoja mkali balaa akanijibu kwa dharau na " wewe unataka k.u.m.a. yangu , huna hadhi ya kunitia mimi "nilimjibu tu una k ya dhahabu ambayo wengine hawana .
 
mwasilishaji kama anasukumwa na kitu fulan hivi kilichomsibu, pole maana si lazima utuambie.
 
Asante kwa ushaur japo inaonesha kama umeeumizwa ..
 
Back
Top Bottom