C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,080 Reaction score 3,771 Dec 31, 2012 #1 Eti kasema polisi wanaruhusu fataki zipigwe siku ya mwaka mpya ila kwa dakika 5 na kwa sauti ya chini..sasa utapigaje fataki kwa aauti ya chini? Kwani ina silencer ? Vitu vingine viwe vinasemwa na msemaji wa jeshi la polisi maana hii ni aibu..
Eti kasema polisi wanaruhusu fataki zipigwe siku ya mwaka mpya ila kwa dakika 5 na kwa sauti ya chini..sasa utapigaje fataki kwa aauti ya chini? Kwani ina silencer ? Vitu vingine viwe vinasemwa na msemaji wa jeshi la polisi maana hii ni aibu..
M mtendaji wa kijiji JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 533 Reaction score 115 Dec 31, 2012 #2 Ile ya mkenya wa ulimboka part2 sijui iliishia wapi
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,952 Reaction score 166,303 Dec 31, 2012 #3 Not sometimes, it is always.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,477 Reaction score 9,551 Dec 31, 2012 #4 Wewe unasema sometimes,kuna point yoyote unayoikumbuka kuwahi kutolewa na Kova?