"Sometimes in April" movie shows why we should leave Rwanda in peace

"Sometimes in April" movie shows why we should leave Rwanda in peace

AZUSA STREET

Rwanda inaenda mbele,peacefully,strong Economy and one of the least non corrupt state in Africa kutokana na strong leadership of Kagame la sivyo ingekuwa another failed state like Somalia
 
Last edited by a moderator:
jMali
Hakuna legit director anaweza kukubali hizo garbage to make a movie,lakini you can fund privately with interahamwe money but will never make to the theaters,lakini we have youtube and facebook clips to air every SOB.
 
Last edited by a moderator:
mbona mauaji ya wahutu zaidi ya laki mbili kweny first Congo war hamyazungumzii. mbona mauaji ya wahutu laki mbili mwaka 1972 huko burundi hayazungumzwi?.
 
mimi pia namchukia kagame kuliko mtu yeyote yule pamoja na kwamba naipenda Rwanda kuliko ninavyoipenda kenya.

na kwa huyu unayebishana naye, kuhusu kwamba kabla ya 94 RPA waliua, ni kweli waliua lakini ilikuwa kwenye civil war, sio genocide. ile genocide was prepared, lots of containers from China full of matchettes were imported. kipindi kile at least every hutu had an opportunity to own a machette, kwasababu waligawiwa na genocide leaders. hivi utajiuliza mapanga yote yale yalitoka wapi? yaliuw amengi kuliko mapanga unayoweza kukusana hapa tz.

Unadadhani jMali hajui hilo? anajua vizuri tu ila for the sake ya kuendelea kumuweka Kagame on the front page hapa ili watanzania wamchukie, basi yeye atapindisha ukweli ili mradi tu.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna legit director anaweza kukubali hizo garbage to make a movie,lakini you can fund privately with interahamwe money but will never make to the theaters,lakini we have youtube and facebook clips to air every SOB.

kama watu wanatengeneza porn movies unadhani watakosekana directors wa kufanya hizi true-story, fact-based movies? okay then!
 
AZUSA STREET

1. RPA hawakuwa waasi wa jeshi la Rwanda, RPA walikuwa jeshi la Uganda. There was no civil war kati ya RPA na habyarimana, there was terrorism. RPA walivamia vijiji vya Rwanda na kuvidisplace, aiming to overtake the country, na kabla ya 1994 walikuwa wameshakamata baadhi ya maeneo tayari.
RPA walichofanya ni kile kile walichofanya M23, kama unasema M23 walikuwa kwenye civil war basi sawa, wewe wasema!

2. Kuhusu machetes hilo ni jambo ambalo limekuwa likitumiwa na kagame and co visivyo. Machetes are a very common farming tool, hasa kwa jamii ya wakulima na wafugaji kama Rwanda, hata sasa hivi ukienda Rwanda nenda nyumba hadi nyumba, watutsi kwa wahutu uone kama utakosa mapanga. At the time of genocide kulikuwa na kiwanda kabisa cha mapanga, kiliitwa Rwandex Chillington Company. Ndio maana wahutu wengi walioua na hata sasa walioko jela hawakuwa interahamwe bali raia wa kawaida ambayo walikuwa na mapanga yao ya siku zote. Vile vile it is a fallacy kudhani kuwa wahutu peke yao ndio walikuwa na mapanga, like i said, almost all adult male in Rwanda has a panga, kama alivyo na jembe au mkuki!
Ukweli ni kuwa extremist-hutus wali-import container moja tu la mapanga toka china, sio "makontena" as you put it, na mapanga haya waligaiwa zaidi interahamwe sio raia wa kawaida. Tanzania yenyewe haiwezi kugawa vyandarua nchi nzima mpaka hisani ya marekani, wewe unadai Rwanda iliweza kugawa mapanga nchi nzima katika kipindi ambacho ilikuwa na uchumi mbovu kuliko wakati wowote? Hii leo kagame na uchumi wake hana hela za kugawa mapanga bure japo kwa robo tu ya population!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha.....one thing i agree with you is that you have enough time on your hand. Hii riwaya yote ni kwa sababu unamchukia kagame tu? You know if this obsession with Kagame both of you were in the developed world wangekua wameshakukamata because you are a cyber stalker.

Hebu kataa chochote kile kwenye hiyo riwaya niliyoandika, prove that nilichoandika ni obsession or stalking. Hivi unapokataa facts unamridhisha nani? all it takes kwa asiyejua chochote kuhusu Rwanda ni ku-google tu! unaonekana "dimwit" (in your voice, LOL)
 
jMali

"wali-import container moja tu" unaiweka kana kwamba wali-import viazi. Kweli una raha jamaa.
 
Last edited by a moderator:
jMali Huwa napenda sana unavyojenga hoja na unavyotoa facts kuhusu issues za Rwanda. Hao wengine naona wanajificha kwenye mgongo wa genocide kuhalalisha anayofanya PK huko Rwanda. Hakuna kitu kinachoniuma na kunkera kama kufungwa kwa Victoirie Ingabhire
 
AZUSA though i cannot give you "like" kwasababu tunatofautiana kimawazo ila i am forced to respect your views, the only different we have ni kwamba mimi nampenda Kagame sana and he is my hero na upande wako humpendi, una sababu zako na sio lazima watu tuwe na msimamo mmoja and i know some hates here came after mkwaruzano kati ya Kagame na Kikwete..ukichunguza utaona tofauti ya comments za wa Tanzania halisi ambao hawampendi Kagame na zile za FDRL wanaojifanya wa Tanzania.
1.Kagame is my President, i admire him so much lakini he is just a political leader so ukimuangalia katika uso wa Tutsi you are wrong,remember kuna wa Tusi wengi tu ambao wako on the opposition side.
Kwa upande mwingine thumb up to lawmaina,why cant people leave Rwanda alone?
Sidhani kama magazeti a Rwanda yaliweza kuchukua mda kujadili mauaji ya yule journalist (Mwangosi)...au bomb blasts in Arusha::
Nahabari hizo zingeandikwa na imani malalamiko yangekuwa mengi humu ndani..
 
Last edited by a moderator:
Movie haziwezi elezea ukweli wote maana ina lifetime ya masaa mawili, wakati ukatili wenyewe ulitendeka kila siku kwa muda. Halafu hii inaelezea picha kwa jicho la familia moja tu na tayari inagofya ajabu.
Tatizo movie yenyewe inaonyesha wahutu wanaua tu as if Kagame alifika Kigali kwa mapambio
 
jMali Huwa napenda sana unavyojenga hoja na unavyotoa facts kuhusu issues za Rwanda. Hao wengine naona wanajificha kwenye mgongo wa genocide kuhalalisha anayofanya PK huko Rwanda. Hakuna kitu kinachoniuma na kunkera kama kufungwa kwa Victoirie Ingabhire

thanks. Rwanda ni nchi iliyojaa uonevu wa kupitiliza. Ukiwa mpinzani wa kagame hata ndugu zako watapata kasheshe, ndugu za nyamwasa wako ndani, ndugu za karegeya wako ndani, watoto wa karegeya walivuliwa uraia wa Rwanda, mama yake victoire ingabire naye alifunguliwa kesi ya genocide, eti kwa vile alikuwa nesi alikuwa anaua watoto wachanga wa kitutsi....
Ndugu yako akigombana na kagame inabidi haraka haraka umkane hadharani hata kama ni ndugu yako wa damu, vinginevyo ukichelewa na wewe unawekwa ndani.

"At the same meeting, MP Edda Mukabagwiza, who prior to going to parliament was Rwanda’s High Commissioner to Canada, publicly disowned her younger sister, Odette Mukabakomeza, who is an active member of the opposition Rwanda National Congress (RNC).

Ms Mukabagwiza said that her sibling was a disgrace to her and her kin and that the family distanced itself from her actions.

It’s a common practice for RPF members to publicly denounce their family members or close relatives who are engaged in activities that can be described as subversive."

source: https://www.jamiiforums.com/interna...nds-out-warning-to-dissenting-rpf-cadres.html
 
Talkandtalk

1. Hao watutsi walioko opposition unaowasema wanalalamikia kile kile wanacholalamikia FDLR! Unless unaongelea fake opposition ndani ya Rwanda ambako ALL OPPOSITION PARTIES HAVE AN ALLIANCE WITH RPF kama CCM na CUF zanzibar.

2. hapa ni jukwaa la international forum. hakuna tatizo la kuandika habari za nchi nyingine, magazeti ya rwanda (kwa vile hakuna forum) hayajakatazwa kujadili mwangosi, chadema, bunge la katiba, arusha or whatever they like. It would be the substance of their content that would count! Mbona magazeti yao yaliandika Tanzania inafadhili FDLR, Tanzania imehost wapinzani wa Rwanda Ikulu, mama salma kikwete ni mhutu, mama salma kikwete ana maduka mikocheni etc, uliona watanzania tunahangaika kupinga kuandikwa kwa utumbo huo? NO! tulijadili kwa hoja. Kila mtu anajua ukiona mtu hataki mjadala ujue kuna jambo anaficha.
 
Last edited by a moderator:
jMali endelea kutupa mambo. Hawa jamaa kwa muonekano wa kimataifa walikuwa wamevaa ngozi ya mwana kondoo kumbe ni mbwa mwitu. Sasa mi binafsi nakushukuru sana kuwaanika wazi. Kweli Tanzania tunawajua majirani wetu vizuri. Sasa Kama Jmall anaandika hivyo, je vijana wetu wa kazi wa usalama si ndo wanaijua rwanda mpaka kagame anapolala?.......LOL
Long live Great Tanzania!. Jmal leta hizi story na mimi ntakuwa nazipeleka kwenye forum nyingine za wabongo ili tuwaanike vizuri. Lazima tuwafundishe kutoa ukabila hapa. murutongore Koba Commanche
 
Last edited by a moderator:
Nimekaa na baadhi ya wanyarwanda nje ya Tanzania na hata Tanzania na kitu ambacho nakifaham kwa udogo ni kwamba ni suala la muda watapigana tena na mapigano yatakuwa makubwa sana kwa sababu wameshindwa kuondoa tofauti zao Sio tu baada ya genocide hata kabla ya genocide uhutu na utusi imekuwa kitu cha kujivunia wanachukiana sana wao kwa wao na ni watu wenye kiburi sana na wamechukia hizo chuki na kurithisha kutoka kizazi hadi kizazi Kigali ambayo kagame anajenga Leo itakuwa ikiwa tena baada ya vita kubwa#repent the end is near.
 
jMali
Mama yake Ingabhire alifunguliwa kesi? so sad! sasa kesi yake alishinda au iliishaje? Victoire Ingabhire kwa sasa anaendeleaje hgrezani? Kuna uwezekano akitoka gerezani akagombea tena Urais au Katiba ya Rwanda hairuhusu mtu aliyewahi kufungwa kujihusisha na siasa?
 
Last edited by a moderator:
jMali hebu naomba unijibu na bila huu ushabiki baina ya FDRL ama sijui Inteharamwe. If Rwanda was as bad as you have been so tirelessly claiming, how comes they have defeated every other EAC country on 2014 Mo Ibrahim Index of African Governance. They have been voted as the best governed nation and far better than Tanzania, Kenya etc.

Be logical the best way possible, don't come up with simplistic answers like Kagame being too good in PR.
 
Last edited by a moderator:
AZUSA though i cannot give you "like" kwasababu tunatofautiana kimawazo ila i am forced to respect your views, the only different we have ni kwamba mimi nampenda Kagame sana and he is my hero na upande wako humpendi, una sababu zako na sio lazima watu tuwe na msimamo mmoja and i know some hates here came after mkwaruzano kati ya Kagame na Kikwete..ukichunguza utaona tofauti ya comments za wa Tanzania halisi ambao hawampendi Kagame na zile za FDRL wanaojifanya wa Tanzania.
1.Kagame is my President, i admire him so much lakini he is just a political leader so ukimuangalia katika uso wa Tutsi you are wrong,remember kuna wa Tusi wengi tu ambao wako on the opposition side.
Kwa upande mwingine thumb up to lawmaina,why cant people leave Rwanda alone?
Sidhani kama magazeti a Rwanda yaliweza kuchukua mda kujadili mauaji ya yule journalist (Mwangosi)...au bomb blasts in Arusha::
Nahabari hizo zingeandikwa na imani malalamiko yangekuwa mengi humu ndani..

Mkuu watu wengi walianza kuifatilia Rwanda pale Rais wao alivyotoa mkwara mbuzi kwa Rais wetu na magazeti yao kuanza kuandika pumba zao kuhusu nchi yetu na viongozi wetu.Ndipo hapo walipotuamsha na kingine magazeti yao yanatumia propaganda zilizotumika Tz miaka hiyo ya chama kimoja .
 
Back
Top Bottom