Leo nilikuwa ninaandika sms kwenda kwa shemeji yangu!
Niliandika neno chumvi simu ikarekebisha ikapendekeza chumvini
Nikaamua kumtext rafiki yangu MTM kumpa pole ya kichapo cha Totenham
Dear MTM autocorrect inapendekeza Dear Mat.ko nikajikuta nimetuma....MTM hajaongea na mimi tangia hapo
Kali zaidi ni hii hapa chini, I tried to write in English it was even worse!
How can I remove this Autocorrect!!
Simu yako imevamiwa na mapepo wachafu ipeleke ikaombewe aiseee.....
Made in Shanghai, China
mchungaji kumbe simu yako made in china ndo maana hapa mimi kichwa kinaniuma kwa mawazoMade in Shanghai, China
hiyo yako sasa teh tehumenikumbusha yule alie m sms mama wmenye nyumba kumwambia umeshau kunipa bili ya umeme....
ikawa bili ya uume......lol