Something has to be done


ADUI

ADUI

Member
Joined
Aug 6, 2009
Messages
82
Likes
1
Points
13
ADUI

ADUI

Member
Joined Aug 6, 2009
82 1 13
Utandawazi una mema na mabaya yake.

Kwa hili nitakalozungumzia hapa ni kwa upande wa ubaya wake hasa upande wa maadili.

Teknolojia ya kupiga picha (mnato au video) na kuzituma ni nzuri lakini kwa hapa tulipofikia, something has to be done for sure. Kuna video ambayo imesambaa hasa kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu hapa nchini. Video hii inaonesha vijana wawili, wa kike na wa kiume wakifanya ngono. Inadaiwa vijana hawa ni wanafunzi wa vyuo fulani hapa jijini Dar es salaam.

Iwe ni kwa makusudi au bahati mbaya video hiyo kusambaa lakini hiyo inaashiria mmomonyoko mkubwa wa maadili, na naamini hatua za ziada zinahitajika kuanzia ngazi ya familia hadi taifa, vinginevyo hali itakua mbaya zaidi ya vile tunavyotarajia. Sidhani kama kuna mzazi yoyote anayeweza kufurahia aibu hii.

Ni maoni yangu tu.
 
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Messages
1,902
Likes
171
Points
160
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2009
1,902 171 160
Hivi wanapopigana hizo picha ndo mapenzi yananoga
Huo ni ubaradhuli
waache walipe
next time waache ushamba..
Privacy should remain privacy forever!!!
 

Forum statistics

Threads 1,250,457
Members 481,354
Posts 29,733,903