God punishes SINNERS. One of His attribute is "THE RIGHTEOUS JUDGE". The author of Hebrews speaks at length regarding God's punishment of sin, even for believers.Hakuna ulichojibu hap,umefanya kukwepa
8. You are created by Him. Choice of worship is yours. Mungu halazimishi watu kumfuata au abudu.
Then y will he punish me?,If its the choice of Worshiping or not
#
His Attributes are invisible and eternal. He has dual Nature. He existed before He became Emmanuel. He is the CREATOR.
Dunia haiitaji Mungu ili iweze kuendelea kuwepo. Anza kufikiria kwa undani unapo debate na mimi.Haya sawa nambie wakati akiwa kaburini nani alikuwa anaoparate dunia?. Ama hakukuwa na mungu na mungu siku tatu?
By...Free ideas..
Dunia haiitaji Mungu ili iweze kuendelea kuwepo. Anza kufikiria kwa undani unapo debate na mimi.
Dunia haiitaji Mungu ili iweze kuendelea kuwepo.
Ndio maana huwa nawashauri kuwa muwe mnajifunza kabla ya kuhojiHahahah,Nilimuuliza hivi...
,Kwa hiyo unakubali kabisa kwamba wakati Mungu yesu akiwa kaburini hakukuwa na mungu?
Cc, Eiyer Mkuu wa chuo Kichwa Ndio Mtu , Mashixizo njoo mumsikie mwenzenu huku anamkana Mungu wenu.
Hili ni gumu sana umempa na limeshamshinda,ni sawa na umpe ugali mtoto mchanga badala ya maziwaDunia haiitaji Mungu ili iweze kuendelea kuwepo. Anza kufikiria kwa undani unapo debate na mimi.
Ndio maana huwa nawashauri kuwa muwe mnajifunza kabla ya kuhoji
Moja kati ya sifa za Mungu ni kuwepo kila mahali,kwanini ashindwe kuwepo kabusini na wakati huo huo awepo mahali pengine?
Unaona sasa faida ya kujua Mungu ni nani na ana uwezo gani?
Mwenzako kakiri kwamba dunia Haihitaji mungu,nami nimefunga mjadala nawakaribisha sana Atheism
tindikalikali wamejichanganya,wamekiri kahuna haja ya kuwa na mungu,na kwamba dunia haimuhitaji ndo mana mungu wao yesu alivouawa na siku tatu hakukuwa mungu.Sasa hapo niendelee kujadili nn?,ha ha ha we jamaa unakaba mpaka penalt?
Kabla ya kuwa Atheist ulikuwa imani ipi?Hahahah,Nilimuuliza hivi...
,Kwa hiyo unakubali kabisa kwamba wakati Mungu yesu akiwa kaburini hakukuwa na mungu?
Cc, Eiyer Mkuu wa chuo Kichwa Ndio Mtu , Mashixizo njoo mumsikie mwenzenu huku anamkana Mungu wenu.
Atheism ni nini? na misingi yake ni ipi?Mwenzako kakiri kwamba dunia Haihitaji mungu,nami nimefunga mjadala nawakaribisha sana Atheism
Kabla ya kuwa Atheist ulikuwa imani ipi?
tindikalikali wamejichanganya,wamekiri kahuna haja ya kuwa na mungu,na kwamba dunia haimuhitaji ndo mana mungu wao yesu alivouawa na siku tatu hakukuwa mungu.Sasa hapo niendelee kujadili nn?,
Atheism ni nini? na misingi yake ni ipi?
pamoja sana mkuu..napenda sana fikra huru!!
Kwa hiyo kumbe hujawahi kujifunza kuhusiana na Mungu? ila umejifunza kuhusiana na Evolution theory si ndio?Sijawahi kuwa katika Dini ama imani yoyote HIVI NDI NILIVYO,napenda kuhoji na kujua sio kukariri na kuamini eti kwa sababu wazazi ama wengine wanafanya pia,
Kwa hiyo kumbe hujawahi kujifunza kuhusiana na Mungu? ila umejifunza kuhusiana na Evolution theory si ndio?
Kwa hiyo bila Theism, Atheism isingekuwepo si ndio? kwa hiyo kwa maana nyingine Atheism inategemea Theism? kwa hiyo hapo kuna vitu viwili kuamini na kutokuamini? Kinyume cha nina Imani yupo ni nini?Take this
... Atheism is, in a broad sense, the rejection of
belief in the existence of deities. In a
narrower sense, atheism is specifically the
position that there are no deities.
Most inclusively, atheism is the absence of
belief that any deities exist.
Atheism is contrasted with theism , which
in its most general form is the belief that at
least one deity exists.
The term atheism originated from the Greek
(atheos ), meaning "without god(s)",
used as a pejorative term applied to those
thought to reject the gods worshipped by the
larger society. With the spread of freethought ,
skeptical inquiry, and subsequent increase in
criticism of religion, application of the term
narrowed in scope. The first individuals to
identify themselves using the word "atheist"
lived in the 18th century.
Arguments for atheism range from the
philosophical to social and historical
approaches. Rationales for not believing in
any supernatural deity include the lack of
empirical evidenc,the problem of evil,
the argument from inconsistent revelations,
rejection of concepts which cannot be falsified ,
and the argument from nonbelief.
Although some atheists have adopted,satisfied ?
Evolution ulishawahi iona? umejuaje kama kulikuwa na evolution? umeombwa ushahidi wa kwamba Hayupo hadi sasa hujaweza kufanikiwa?Kumbe mpaka kujifunza?,Kwa nn mpaka kujifunza? .Ndio sijawahi na sihitaji maana haitasaidia sana kwa kuwa haonekani!,hapimiki wala hayupo kwa sababu hayupo na hakuna ushahidi usio na shaka wa uwepo wake.
Kwa nn kashindwa kufanya tumjue bila kujifunza?