Tatizo siasa nyingi kuliko utendaji kazi.
Hii mcgi ina laana, maji tabu, umeme changamoto, just imagine na joto hili la dar huna umeme, huna maji.
2022 sijui ile, rais alikuja kuzindua mradi wa maji, mpaka hivi leo kigamboni hatujanywa tone la maji toka mradi ule.. Nahisi walimpiga za uso, pale wamerekebisha tank na miundombinu ya pale pale, kumbe mtaani mabomba hayajasambazwa.