mm naishia kusema Asante tu,Si wajua vile nafanyaga.... ndo nilifanya....
Sababu utafute mwenyewe.
Mmh!acha kunigeuzia kibao, wewe ndo umeamua..
Sijapata wimbo ulionikosha wa kusindikiza huu ujumbe.... naendelea kutafuta.
nitarejea badae jioni...ila nna uhakika ni ww, usitake kujifanya mjanjaa![emoji20][emoji19]Kweli tena, rejea hadidu zote.
nitarejea badae jioni...ila nna uhakika ni ww, usitake kujifanya mjanjaa![emoji20][emoji19]
Daaah....!! asante sana ila.... umeyaamsha mahaba hatarii.
Don, nisemeshe basi kwa kadi la zamani..... a beg yoo.
Nafasi ndo hii ikipita hairudi tena.
Oooh woow....
Basi acha niwe mpole...
Good day to you.
PoleeeYaani wee acha tuu ndugu yangu yangu....
I missed him badly.
Cc bibi