...ni kweli, kila wakati nilipokuwa depressed solution ilikuwa ni ku-do. Nimefanya hivyo takribani miaka kumi na imenisaidia sana. jana nilikuwa depressed nilifikiria ku-do ili iniondolee stress. leo asubuhi nimesoma utafiti huu...kwa uzoefu wangu naona utafiti umenena!