Mundu Mulosi New Member Joined Jul 30, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Aug 3, 2018 #1 Nimefika wadau, wageni wanakaa/wanaketi wapi? Siko poa sana Kiswahili, huko kwetu tunachanganya, swa, Engrich, Kibukusu, et al.
Nimefika wadau, wageni wanakaa/wanaketi wapi? Siko poa sana Kiswahili, huko kwetu tunachanganya, swa, Engrich, Kibukusu, et al.
Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,842 Aug 3, 2018 #2 Pita mapokezi kwanza
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,776 Reaction score 11,645 Aug 4, 2018 #3 kiingilio tuma kwenye namba hii 0753546111
- kANA - JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 4,088 Reaction score 10,553 Aug 4, 2018 #4 Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa? Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri. karibu!
Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa? Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri. karibu!
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,134 Aug 4, 2018 #5 -KANA- said: Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa? Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri. karibu! Click to expand... hahahahahaa
-KANA- said: Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa? Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri. karibu! Click to expand... hahahahahaa
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Aug 5, 2018 #7 Pita uketi pale Karibu jf
thomas de winner Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14 Reaction score 3 Aug 5, 2018 #8 You're warmly welcomed
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 Aug 6, 2018 #9 Karibu sana JF.........................
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,778 Reaction score 13,684 Aug 6, 2018 #10 Mundu Mulosi said: Nimefika wadau, wageni wanakaa/wanaketi wapi? Siko poa sana Kiswahili, huko kwetu tunachanganya, swa, Engrich, Kibukusu, et al. Click to expand... We unajiita mundu mulosi lakini kumbuka kukabidhi mikoba yako kwa mshana jr
Mundu Mulosi said: Nimefika wadau, wageni wanakaa/wanaketi wapi? Siko poa sana Kiswahili, huko kwetu tunachanganya, swa, Engrich, Kibukusu, et al. Click to expand... We unajiita mundu mulosi lakini kumbuka kukabidhi mikoba yako kwa mshana jr
Mundu Mulosi New Member Joined Jul 30, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Aug 9, 2018 Thread starter #11 Chupayamaji said: We unajiita mundu mulosi lakini kumbuka kukabidhi mikoba yako kwa mshana jr Click to expand... Mshana Jnr ni nani na anafanyanga nini?
Chupayamaji said: We unajiita mundu mulosi lakini kumbuka kukabidhi mikoba yako kwa mshana jr Click to expand... Mshana Jnr ni nani na anafanyanga nini?
Mundu Mulosi New Member Joined Jul 30, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Aug 9, 2018 Thread starter #12 -KANA- said: Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa? Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri. karibu! Click to expand... Hii kiswahili yenu mingi haileti shangwe.
-KANA- said: Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa? Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri. karibu! Click to expand... Hii kiswahili yenu mingi haileti shangwe.
majoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,706 Reaction score 5,111 Aug 9, 2018 #13 Mundu Mulosi said: Hii kiswahili yenu mingi haileti shangwe. Click to expand... Umefata shangwe humu?
Mundu Mulosi said: Hii kiswahili yenu mingi haileti shangwe. Click to expand... Umefata shangwe humu?
dawa yenu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2,829 Reaction score 3,733 Aug 9, 2018 #14 Mundu Mulosi said: Mshana Jnr ni nani na anafanyanga nini? Click to expand... Huyo ndiye nguli wa masuala yote ya ulozi humu ndani, sasa kama una masuala yoyote yanahusiana na uchawi na wanga (jina lako linasadifu yaliyomo "mulosi") wasiliana na ndugu Mshana Jr ili akupe utaratibu. Asante
Mundu Mulosi said: Mshana Jnr ni nani na anafanyanga nini? Click to expand... Huyo ndiye nguli wa masuala yote ya ulozi humu ndani, sasa kama una masuala yoyote yanahusiana na uchawi na wanga (jina lako linasadifu yaliyomo "mulosi") wasiliana na ndugu Mshana Jr ili akupe utaratibu. Asante
manizzle JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 3,421 Reaction score 4,323 Aug 9, 2018 #15 Feel at home