Daaaah! Jf kila kitu kina suluhu!
Cha kushangaza ni wachache watakao kubali kuwa wana mwezi hawaja pata hug!
Ngoja nikae hapa pembeni nione!
Hugs heal!! Someone come and heal me!!?? No, I always get it from my better half!! Ha ha ha!! Aise ukimpata anayejua hug ya hisia yaani we acha tu!!
keys word anaejua. Bila hiyo itakulaje kwako??