Mawazo yangu kuhusu maandamano ya Sabasaba

Mawazo yangu kuhusu maandamano ya Sabasaba

Umenena vyema sana

Ndo maana mimi huwa nasema kila siku wana harakati wa Tanzania ni mashushushu wa ccm.
Maana wana andaa vitu bira mpango bira zumuni bira plans mwisho wa sku maandamano yatafali ya yakifel tayar mshaondoa au kupunguza comfidence ya wananchi wanao taka kuandamana

Angalia maandamano ya kipindi cha uchaguzi yale maandamano yalifanikiwa kwa kias flan, sasa km tungelikua na wana harakati wenye akili wangetumua muda wao kuwaza na kuumiza kicha je tufanye nini ili maandamano yajayo yafaikiwe zaid

Ila sasa wisho wa sku wana harakati wetu walivyo wajinga waka andaa maandamano ya hovyo hovyo yasiyo kua na mipango wala madhumuni mwisho ya sku maandamano yote yamefeli
Toka uchaguzi adi leo hii ni maandamano zaidi ya 3 yameandaliwa na yote yalifeli
 
Kuna a researcher aliangalia maandamano between 1900-2000 yaliyofanikiwa kufanikisha regime change akagundua kitu called The 3.5% Rule. Aligundua kwamba maandamano yaliyofanikiwa kuondoa serikali madarakani ni yale ambayo 3.5% ya population ilitokea na kuenda mtaani kuandamana. Ingawa it's not strictly a rule, but it's a good observation that seems to hold true to this day, mfano Bangladesh 2024.

Hii 3.5% kwa Tanzania ni 2,539,732.

By the logic above, this is the number we have to mobilize ili kuondoa CCM madarakani. Tukifanikiwa kushawishi 2.5 million Tanzanians waende barabarani, hakika, CCM hawatoboi.

Sasa, swali ninalojiuliza kwa sasa ni... Je... Wiki ijayo watatoka 2.5 million kweli?

Kuna jitihada gani zimewekwa ili kufikisha hiyo 2.5 million? Na kama jitihada ziliizofanyika mpaka sasa hazioneshi kama hata nusu ya hawa watu 2.5 million watatokea, kuna haja kweli ya kwenda mtaani at all?

Unfortunately, tunaopambana nao wamejipanga, je tutafanikiwa tusipojipanga zaidi yao? Moja ya criticisms nilizotoaga kabla ya yale 29/10 ni kwamba hatukuwa kama wananchi tumejipanga vya kutosha, na unfortunately, *** CCM, hayakufanikiwa. Sasa tumejifunza nini kutoka maandamano hayo ili tusirudie kufeli tena Jumanne ijayo? Mfano, moja ya changamoto watu walizokutana nazo ni kuishiwa na chakula ndani, je tumetaarifu watu wetu kustock chakula na pesa japo kidogo kujiandaa na maandamano hayo?

Kuna wazo ninalolipataga ambalo, samahani kama nitawakwaza, ila ni kitu kinachonifikirisha sana. Tunaweza kuamini nia na madhumuni ya wapangaji/wanaharakati wetu kwamba malengo yetu ni sawa na yao? Ni dhahiri kwamba wapangaji/wanaharakati hupokea pesa kutoka kwa mashirika mbali mbali ambayo yamehusika na uchochezi kwa maslahi yao. Money always complicates things. Kama maandamano haya kwa kuangalia tu hayatafanikiwa kuondoa CCM (3.5% Rule), je, wao wanapata nini kuchochea maandamano haya kwa kasi hii despite that?

Kwa mtazamo wangu... Maandamano yoyote yatakayopangwa pasipo kuwa na uhakika wa 3.5% ni sawa na kutoa kafara na kucheza na maisha ya Watanzania. Kama lengo ni kuondoa CCM anything short of that is failure. Na since maandamano is the strongest weapon in our arsenal, kweli tuchezee this weapon mara kwa mara kama hivi? Si mwisho wa siku itaishia kuwa butu? Kumbuka watu bado wana vidonda vya 29/10, lakini tangu hiyo 29/10 wameshaita maandamano mara mbili au sijui tatu, na yote yamebuma. Sasa kuna nini cha tofauti kuhusu haya? Binafsi sijaona, pengine mnielimishe. Lakini despite it, kuna watu watauwawa hiyo jumanne. Kwangu mimi hatia ya damu yao ipo juu ya CCM pamoja na wapangaji waliowaambia watoke pasipo mpango stahiki.

Kwa ninavyoona na ninachoshauri ni kwamba haya maandamano hayajapangwa vizuri vya kutosha, na inabidi ya hairishwe. Yapangwe mengine, maybe mwakani and in the meantime tutafute a channel ya kuplan, kudisseminate hiyo plan, kujenga imani ya watu, mpaka kumobilize hiyo 3.5%. Ningeshauri kuanza na migomo baridi baadala ya kutegemea tu siku moja. Hiyo siku ndo iwe crescendo, ila mziki ungeanza muda sana. Ila hii ya kutegemea ngome yaoo waliyoijenga kwa miaka 60 tutaitoa ndani ya siku moja, kwa kweli, sina imani nayo.

I know ipo nje ya uwezo wangu, na najua hamna kitakachobadilika, ila... Inanifikirisha sana. Tusubiri tuone hiyo Jumanne ijayo.

Kuna a sense of helplessness naiona kila nikienda mtaani nyusoni mwa karibia Watanzania wote tangu 29/10. Inasisikitisha sana na kunijaza uchungu. Ila natumani ipo siku tu, kila kirefu kina ncha. Sasa tujipange kurudisha tabasamu kwa wote. Mungu ibariki Tanzania.

Anyway. Sisemi haya kukatisha watu tamaa, ni mtazamo wangu tu. Feel free kutokubaliana na mimi, samahani kwa lolote nililosema ambalo litamkwaza yoyote. Best.
Umewaza endapo maandamano yataanzia ndani ya sabasaba
 
Umenena vyema sana

Ndo maana mimi huwa nasema kila siku wana harakati wa Tanzania ni mashushushu wa ccm.
Maana wana andaa vitu bira mpango bira zumuni bira plans mwisho wa sku maandamano yatafali ya yakifel tayar mshaondoa au kupunguza comfidence ya wananchi wanao taka kuandamana

Angalia maandamano ya kipindi cha uchaguzi yale maandamano yalifanikiwa kwa kias flan, sasa km tungelikua na wana harakati wenye akili wangetumua muda wao kuwaza na kuumiza kicha je tufanye nini ili maandamano yajayo yafaikiwe zaid

Ila sasa wisho wa sku wana harakati wetu walivyo wajinga waka andaa maandamano ya hovyo hovyo yasiyo kua na mipango wala madhumuni mwisho ya sku maandamano yote yamefeli
Toka uchaguzi adi leo hii ni maandamano zaidi ya 3 yameandaliwa na yote yalifeli
Umefikiria endapo maandamano yataanzia ndani ya Sabasaba
 
Usibonyeze sana ukakiharibu, sijavurugika akili!

Ingawa mwehu hajitambui lakini hastahili kuitwa kwa sifa yake kwamba 'wee mwehu'.

Tandaza hapa kwa uelewa wako mbinu stahiki za kutumia kuuondoa huu utawala haramu.

Mbinu za kistaarabu za kudai demokrasia kwa njia za maandamano tulizozitumia zilishaleta madhara na hakuna anayelia na sisi.

Je turudi na mbinu zile zile kwa watu wale wale?

Usipoweka fikra zako hapa namna ya kusaidia kufikia lengo, ukaendeleza msigano usiokuwa na maelezo ya maana, nawe nitakuona ni wale wale.
Mi naona twende msituni, tupate silaha na wao wanaoua wengine wapate maumivu ya kuuliwa.
 
Na jinsi wananchi walivyochoka na kukosa matumaini, wataunga mkono hizo harakati.
Hiki ndicho nilichotaka kukieleza tangia awali kabisa kwamba, amani ya nchi nzima hii ivurugike, maana watawala tayari wameshatufikisha huko.

Kuandamana ili kuwasilisha madai yetu ambayo tayari wanayajua na hawataki kuyasikiliza na kuchukua hatua, umwagaji wa damu hauna budi.

Baadaye tutakuja kusuluhishwa na kukalishwa meza moja na watu wengine ili kupatanishwa, maana kukaa sisi wenyewe na kuelewana imeshashindikana, kwa sasa zimebakia hadaa na ujanja ujanja tu.

Muda huo utakapofika, kila mmoja wetu atakuwa amechoshwa na dhahama za vurugu na akili zimemsogea.

Wasichofahamu watawala ni kwamba 'kuilinda amani kwa nguvu zote' wanakosema ina fasiri kwa pande zote, maana mtu yeyote kuchukua silaha na kupigania uhuru na maisha yake ndiko kuilinda amani yake kwa nguvu vile vile.

Na hakuna binadamu mwenye maisha ya thamani kuliko mwenzake.
 
 
Eti wanaandamana kupinga watu kutekwa na kuuwawa. Wana akili kweli hao?! Yaani mwanao au mama ako auwawe au atekwe halafu we uandamane?! Kwanini usisubiri waje wamteke na Baba yako pia?
Obviously he is too dumb to grasp your point.
 
Ndo kilichobaki maana shida zetu wanazijua na hawataki kuzitatua,,

Wananchi wamekosa matumaini kabisa na huu utawala.
 
Back
Top Bottom