Some Thoughts on 7/7

Some Thoughts on 7/7

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
596
Reaction score
1,709
Kuna a researcher aliangalia maandamano between 1900-2000 yaliyofanikiwa kufanikisha regime change akagundua kitu called The 3.5% Rule. Aligundua kwamba maandamano yaliyofanikiwa kuondoa serikali madarakani ni yale ambayo 3.5% ya population ilitokea na kuenda mtaani kuandamana. Ingawa it's not strictly a rule, but it's a good observation that seems to hold true to this day, mfano Bangladesh 2024.

Hii 3.5% kwa Tanzania ni 2,539,732.

By the logic above, this is the number we have to mobilize ili kuondoa CCM madarakani. Tukifanikiwa kushawishi 2.5 million Tanzanians waende barabarani, hakika, CCM hawatoboi.

Sasa, swali ninalojiuliza kwa sasa ni... Je... Wiki ijayo watatoka 2.5 million kweli?

Kuna jitihada gani zimewekwa ili kufikisha hiyo 2.5 million? Na kama jitihada ziliizofanyika mpaka sasa hazioneshi kama hata nusu ya hawa watu 2.5 million watatokea, kuna haja kweli ya kwenda mtaani at all?

Unfortunately, tunaopambana nao wamejipanga, je tutafanikiwa tusipojipanga zaidi yao? Moja ya criticisms nilizotoaga kabla ya yale 29/10 ni kwamba hatukuwa kama wananchi tumejipanga vya kutosha, na unfortunately, *** CCM, hayakufanikiwa. Sasa tumejifunza nini kutoka maandamano hayo ili tusirudie kufeli tena Jumanne ijayo? Mfano, moja ya changamoto watu walizokutana nazo ni kuishiwa na chakula ndani, je tumetaarifu watu wetu kustock chakula na pesa japo kidogo kujiandaa na maandamano hayo?

Kuna wazo ninalolipataga ambalo, samahani kama nitawakwaza, ila ni kitu kinachonifikirisha sana. Tunaweza kuamini nia na madhumuni ya wapangaji/wanaharakati wetu kwamba malengo yetu ni sawa na yao? Ni dhahiri kwamba wapangaji/wanaharakati hupokea pesa kutoka kwa mashirika mbali mbali ambayo yamehusika na uchochezi kwa maslahi yao. Money always complicates things. Kama maandamano haya kwa kuangalia tu hayatafanikiwa kuondoa CCM (3.5% Rule), je, wao wanapata nini kuchochea maandamano haya kwa kasi hii despite that?

Kwa mtazamo wangu... Maandamano yoyote yatakayopangwa pasipo kuwa na uhakika wa 3.5% ni sawa na kutoa kafara na kucheza na maisha ya Watanzania. Kama lengo ni kuondoa CCM anything short of that is failure. Na since maandamano is the strongest weapon in our arsenal, kweli tuchezee this weapon mara kwa mara kama hivi? Si mwisho wa siku itaishia kuwa butu? Kumbuka watu bado wana vidonda vya 29/10, lakini tangu hiyo 29/10 wameshaita maandamano mara mbili au sijui tatu, na yote yamebuma. Sasa kuna nini cha tofauti kuhusu haya? Binafsi sijaona, pengine mnielimishe. Lakini despite it, kuna watu watauwawa hiyo jumanne. Kwangu mimi hatia ya damu yao ipo juu ya CCM pamoja na wapangaji waliowaambia watoke pasipo mpango stahiki.

Kwa ninavyoona na ninachoshauri ni kwamba haya maandamano hayajapangwa vizuri vya kutosha, na inabidi ya hairishwe. Yapangwe mengine, maybe mwakani and in the meantime tutafute a channel ya kuplan, kudisseminate hiyo plan, kujenga imani ya watu, mpaka kumobilize hiyo 3.5%. Ningeshauri kuanza na migomo baridi baadala ya kutegemea tu siku moja. Hiyo siku ndo iwe crescendo, ila mziki ungeanza muda sana. Ila hii ya kutegemea ngome yaoo waliyoijenga kwa miaka 60 tutaitoa ndani ya siku moja, kwa kweli, sina imani nayo.

I know ipo nje ya uwezo wangu, na najua hamna kitakachobadilika, ila... Inanifikirisha sana. Tusubiri tuone hiyo Jumanne ijayo.

Kuna a sense of helplessness naiona kila nikienda mtaani nyusoni mwa karibia Watanzania wote tangu 29/10. Inasisikitisha sana na kunijaza uchungu. Ila natumani ipo siku tu, kila kirefu kina ncha. Sasa tujipange kurudisha tabasamu kwa wote. Mungu ibariki Tanzania.

Anyway. Sisemi haya kukatisha watu tamaa, ni mtazamo wangu tu. Feel free kutokubaliana na mimi, samahani kwa lolote nililosema ambalo litamkwaza yoyote. Best.
 
nonsense 🐒
 
Huwezi kukwaza mtu kwa mawazo positive, labda kama mtu huyo ni mpumbaf.

Regime isiyothamini uhai wa mtu, inaajiri mamluki kuja kuuwa raia wake hata wasio husika, Serikali isiyoweza kubadilika hata kwa kuomba radhi tu, unaiamini inaweza kuyalinda maandamano iliyoyapiga ban na kupokea malalamiko ya watu na kuyafanyia kazi?

ni ujinga kuamini kuitumia mbinu ile ile iliyoleta maumivu ukategemea matokeo tofauti.

Ulichojiuliza ndicho kila great thinker anajiuliza, hawa wahamasishaji wameshindwa nini kuja na mbinu zingine zaidi za hayo maandamano ya amani yaliyofeli?

Watu wakiuawa tena wao watajibuje?

Sijawasikia kuzungumzia njia zingine nje ya maandamano ambazo zitailazimisha Serikali kuchutama na kujiona wapo uchi, sijasikia mie.

Mbinu mujarabu za kuitikisa Serikali na kuilazimisha kufungua masikio na kusikiliza wananchi zipo nyingi, lakini hawazitumii, tujiulize mi na wewe ni kwa nini?

Kukabiliana kupambana na simba kwa mikono mitupu hata kama ukimshinda, ni ushujaa lakini ni upumbaf.
 
Sikusoma bandiko zima, lakini nilipoishia naona mfano pekee uliotoa hiyo 3.5% ni huo wa Bangladesh; pamoja na kwamba imeelezwa mtafiti kaanzia mbali katika utafiti wake.

Je, Madagascar aliona hali hiyo hiyo ya 3.5%; na kwingineko?

Je, ni halali pia tukisema 3.5% ya Dar itakuwa ni watu wangapi; hawa wanaweza kuleta mabadiliko?

Binafsi naamini kuwa wakipatikana waTanzania laki tano tu nchi znima, ambao wamepania kwelikweli kutaka kuleta mabadiliko, nchi hii itakombolewa haraka sana.

Na pia kumbuka kuwa, siku ya mwanzo ya maandamano wakijitokeza kiasi hicho, , maandamano yatakayofuatia baada ya siku hiyo ya mwanzo yatakuwa ni makubwa zaidi

Jambo jingine ninaloamini kwa dhati kabisa, ni kwamba utawala huu hauna tena nguvu ya kuua waTanzania kama walivyofanya Oktoba 29.

Sasa hivi wanatumia vitisho vya polisi wakiwa kwenye mavazi rasmi,. Oktoba walitumia wauaji waliopangwa maksusi kufanya kazi hiyo ya kuua walioandaliwa kabla ya siku ya mauaji.
 
Watu wakiuawa tena wao watajibuje?
Mimi ninakusihi uwaulize hao wanaoua swali hili kwanza.

Na kwa kusikitika kabisa naona hapa chini bado unalaumu wanaolazimishwa kutafuta haki kwa gharama kubwa; lakini huna uthubutu wa kuwahoji hao unaowatetea kwa nini hawaoni sababu ya kuwasikiliza hawa wanaotafuta mabadiliko
Ulichojiuliza ndicho kila great thinker anajiuliza, hawa wahamasishaji wameshindwa nini kuja na mbinu zingine zaidi za hayo maandamano ya amani yaliyofeli?
Mbinu zipi ambazo wewe unafikiri zingeweza kubadili mioyo ya watu waovu kabisa ambao wanajiona wao kuwa madarakani kwa nguvu ni kila kitu kwao.

hhujui kabisa kinachosababisha matatizo yote tuliyonayo sasa hivi hapa nchini?
Mbinu mujarabu za kuitikisa Serikali na kuilazimisha kufungua masikio na kusikiliza wananchi zipo nyingi, lakini hawazitumii, tujiulize mi na wewe ni kwa nini?
Tuchukulie wewe ni GT kwelikweli, lakini unabaki ukilalama tu huna hata mfano wa kuwapa hao unaowadharau.
Huko "kufungua masikio" ya hao marafiki zako, watu waliouliwa Oktoba hakutoshi kabisa kufungua masikio ya hawa watu unaowapa hadhi kubwa kiasi hiki?
 
Regime isiyothamini uhai wa mtu, inaajiri mamluki kuja kuuwa raia wake hata wasio husika, Serikali isiyoweza kubadilika hata kwa kuomba radhi tu, unaiamini inaweza kuyalinda maandamano iliyoyapiga ban na kupokea malalamiko ya watu na kuyafanyia kazi?
Sijawasikia kuzungumzia njia zingine nje ya maandamano ambazo zitailazimisha Serikali kuchutama na kujiona wapo uchi, sijasikia mie.
Mbinu mujarabu za kuitikisa Serikali na kuilazimisha kufungua masikio na kusikiliza wananchi zipo nyingi, lakini hawazitumii, tujiulize mi na wewe ni kwa nini?
Nimefadhaishwa sana na bandiko lako, kiasi kwamba ikanibidi nisome tena kwa mara nyingine kama sikupata uelewa hapo mwanzo.

Ninachoona ni kwamba umevurugika kiakili.
 
Kuna a researcher aliangalia maandamano between 1900-2000 yaliyofanikiwa kufanikisha regime change akagundua kitu called The 3.5% Rule. Aligundua kwamba maandamano yaliyofanikiwa kuondoa serikali madarakani ni yale ambayo 3.5% ya population ilitokea na kuenda mtaani kuandamana. Ingawa it's not strictly a rule, but it's a good observation that seems to hold true to this day, mfano Bangladesh 2024.

Hii 3.5% kwa Tanzania ni 2,539,732.

By the logic above, this is the number we have to mobilize ili kuondoa CCM madarakani. Tukifanikiwa kushawishi 2.5 million Tanzanians waende barabarani, hakika, CCM hawatoboi.

Sasa, swali ninalojiuliza kwa sasa ni... Je... Wiki ijayo watatoka 2.5 million kweli?

Kuna jitihada gani zimewekwa ili kufikisha hiyo 2.5 million? Na kama jitihada ziliizofanyika mpaka sasa hazioneshi kama hata nusu ya hawa watu 2.5 million watatokea, kuna haja kweli ya kwenda mtaani at all?

Unfortunately, tunaopambana nao wamejipanga, je tutafanikiwa tusipojipanga zaidi yao? Moja ya criticisms nilizotoaga kabla ya yale 29/10 ni kwamba hatukuwa kama wananchi tumejipanga vya kutosha, na unfortunately, *** CCM, hayakufanikiwa. Sasa tumejifunza nini kutoka maandamano hayo ili tusirudie kufeli tena Jumanne ijayo? Mfano, moja ya changamoto watu walizokutana nazo ni kuishiwa na chakula ndani, je tumetaarifu watu wetu kustock chakula na pesa japo kidogo kujiandaa na maandamano hayo?

Kuna wazo ninalolipataga ambalo, samahani kama nitawakwaza, ila ni kitu kinachonifikirisha sana. Tunaweza kuamini nia na madhumuni ya wapangaji/wanaharakati wetu kwamba malengo yetu ni sawa na yao? Ni dhahiri kwamba wapangaji/wanaharakati hupokea pesa kutoka kwa mashirika mbali mbali ambayo yamehusika na uchochezi kwa maslahi yao. Money always complicates things. Kama maandamano haya kwa kuangalia tu hayatafanikiwa kuondoa CCM (3.5% Rule), je, wao wanapata nini kuchochea maandamano haya kwa kasi hii despite that?

Kwa mtazamo wangu... Maandamano yoyote yatakayopangwa pasipo kuwa na uhakika wa 3.5% ni sawa na kutoa kafara na kucheza na maisha ya Watanzania. Kama lengo ni kuondoa CCM anything short of that is failure. Na since maandamano is the strongest weapon in our arsenal, kweli tuchezee this weapon mara kwa mara kama hivi? Si mwisho wa siku itaishia kuwa butu? Kumbuka watu bado wana vidonda vya 29/10, lakini tangu hiyo 29/10 wameshaita maandamano mara mbili au sijui tatu, na yote yamebuma. Sasa kuna nini cha tofauti kuhusu haya? Binafsi sijaona, pengine mnielimishe. Lakini despite it, kuna watu watauwawa hiyo jumanne. Kwangu mimi hatia ya damu yao ipo juu ya CCM pamoja na wapangaji waliowaambia watoke pasipo mpango stahiki.

Kwa ninavyoona na ninachoshauri ni kwamba haya maandamano hayajapangwa vizuri vya kutosha, na inabidi ya hairishwe. Yapangwe mengine, maybe mwakani and in the meantime tutafute a channel ya kuplan, kudisseminate hiyo plan, kujenga imani ya watu, mpaka kumobilize hiyo 3.5%. Ningeshauri kuanza na migomo baridi baadala ya kutegemea tu siku moja. Hiyo siku ndo iwe crescendo, ila mziki ungeanza muda sana. Ila hii ya kutegemea ngome yaoo waliyoijenga kwa miaka 60 tutaitoa ndani ya siku moja, kwa kweli, sina imani nayo.

I know ipo nje ya uwezo wangu, na najua hamna kitakachobadilika, ila... Inanifikirisha sana. Tusubiri tuone hiyo Jumanne ijayo.

Kuna a sense of helplessness naiona kila nikienda mtaani nyusoni mwa karibia Watanzania wote tangu 29/10. Inasisikitisha sana na kunijaza uchungu. Ila natumani ipo siku tu, kila kirefu kina ncha. Sasa tujipange kurudisha tabasamu kwa wote. Mungu ibariki Tanzania.

Anyway. Sisemi haya kukatisha watu tamaa, ni mtazamo wangu tu. Feel free kutokubaliana na mimi, samahani kwa lolote nililosema ambalo litamkwaza yoyote. Best.
Better to die standing than to live kneeling.
Instigating demonstrations doesn't need a lot of people, kunatakiwa watu determined ambao mostly ndiyo hubeba 'vision' ya goals za demonstrations then kadri ya harakati zinavyoendelea ndipo watu huwa motivated na 'kuunga behewa'.
You're entitled to your opinion lakini kuingiza negativity kabla jambo halijafikia muda wake it's like you're among those who are on the other side of the river, our adversaries. So dude just chill, we'll cross that bridge when we get there.
 
Idadi ya waandamanaji huongezeka kadri maandamano yanavyoendelea.

Maandamano sometimes huanza kama spark na hatimaye kuwa an unstoppable force. It’s contagious!
 
Better to die standing than to live kneeling.
Instigating demonstrations doesn't need a lot of people, kunatakiwa watu determined ambao mostly ndiyo hubeba 'vision' ya goals za demonstrations then kadri ya harakati zinavyoendelea ndipo watu huwa motivated na 'kuunga behewa'.
You're entitled to your opinion lakini kuingiza negativity kabla jambo halijafikia muda wake it's like you're among those who are on the other side of the river, our adversaries. So dude just chill, we'll cross that bridge when we get there.
Mkuu naomba wakati wa maandamano tupate selfie maana bila shaka utakuwa mstari wa mbeleee kabisa, au sio?
 
Hii 3.5% kwa Tanzania ni 2,539,732.
Huo utafiti uliousoma inaelekea hukuuelewa vizuri.
Hao waandamanaji 3.5% walijitokeza siku hiyo hiyo moja na wakafanikiwa lengo lao?

Baada ya kusoma andiko lako lote, nimehitimisha kuwa kuna mambo mengi huyaelewi.

Kwa mfano: hao unaowaita "wanaharakati"; kwamba ndio wanaochochea watu wakaandamane. Maana ya fikra hizi ni kuwa unawadharau sana waTanzania kuwa hawajui wanachotaka mpaka waamshwe na hao watu wanaolipwa kufanya kazi ya kuhamasisha. Hizi ni fikra za kipumbavu na za dharau kama hao wanaoua waTanzani ili wabaki madarakani kwa nguvu.
 
Mkuu naomba wakati wa maandamano tupate selfie maana bila shaka utakuwa mstari wa mbeleee kabisa, au sio?
Wewe unajulikana ni mmoja wa hawa akina mwaipopo na huyo mwingine aliyeibukia Manzese anyedai kukata miguu ya watu.

Hamzuii kitu, wakati wenu umewadia.
 
Unazo akili za kutosha kuuliza swali la kipumbavu kama hili?
Sababu nyingine kubwa kabisa ya kushindwa hayo yanayoitwa "maandamano ya kuipindua serikali" ni uwepo wa wapumbavu kama huyu huko chadema. Mtu akitoka wazo mbadala, kuuliza asipokuelewa basi wao kazi yao ni kumshambulia kwa matusi, kumkebehi na name callings zingine za ajabu. Haya, kachukueni nchi tarehe 7
 
Wewe unajulikana ni mmoja wa hawa akina mwaipopo na huyo mwingine aliyeibukia Manzese anyedai kukata miguu ya watu.

Hamzuii kitu, wakati wenu umewadia.
Karibu sana kamanda uchukue nchi kirahisi tu kama hivyo. Sawa, mleta mada ni mpumbavu, nyie tu chadema ndo wenye akili Dunia nzima.
 
Nimefadhaishwa sana na bandiko lako, kiasi kwamba ikanibidi nisome tena kwa mara nyingine kama sikupata uelewa hapo mwanzo.

Ninachoona ni kwamba umevurugika kiakili.
Usibonyeze sana ukakiharibu, sijavurugika akili!

Ingawa mwehu hajitambui lakini hastahili kuitwa kwa sifa yake kwamba 'wee mwehu'.

Tandaza hapa kwa uelewa wako mbinu stahiki za kutumia kuuondoa huu utawala haramu.

Mbinu za kistaarabu za kudai demokrasia kwa njia za maandamano tulizozitumia zilishaleta madhara na hakuna anayelia na sisi.

Je turudi na mbinu zile zile kwa watu wale wale?

Usipoweka fikra zako hapa namna ya kusaidia kufikia lengo, ukaendeleza msigano usiokuwa na maelezo ya maana, nawe nitakuona ni wale wale.
 
Kuna a researcher aliangalia maandamano between 1900-2000 yaliyofanikiwa kufanikisha regime change akagundua kitu called The 3.5% Rule. Aligundua kwamba maandamano yaliyofanikiwa kuondoa serikali madarakani ni yale ambayo 3.5% ya population ilitokea na kuenda mtaani kuandamana. Ingawa it's not strictly a rule, but it's a good observation that seems to hold true to this day, mfano Bangladesh 2024.

Hii 3.5% kwa Tanzania ni 2,539,732.

By the logic above, this is the number we have to mobilize ili kuondoa CCM madarakani. Tukifanikiwa kushawishi 2.5 million Tanzanians waende barabarani, hakika, CCM hawatoboi.

Sasa, swali ninalojiuliza kwa sasa ni... Je... Wiki ijayo watatoka 2.5 million kweli?

Kuna jitihada gani zimewekwa ili kufikisha hiyo 2.5 million? Na kama jitihada ziliizofanyika mpaka sasa hazioneshi kama hata nusu ya hawa watu 2.5 million watatokea, kuna haja kweli ya kwenda mtaani at all?

Unfortunately, tunaopambana nao wamejipanga, je tutafanikiwa tusipojipanga zaidi yao? Moja ya criticisms nilizotoaga kabla ya yale 29/10 ni kwamba hatukuwa kama wananchi tumejipanga vya kutosha, na unfortunately, *** CCM, hayakufanikiwa. Sasa tumejifunza nini kutoka maandamano hayo ili tusirudie kufeli tena Jumanne ijayo? Mfano, moja ya changamoto watu walizokutana nazo ni kuishiwa na chakula ndani, je tumetaarifu watu wetu kustock chakula na pesa japo kidogo kujiandaa na maandamano hayo?

Kuna wazo ninalolipataga ambalo, samahani kama nitawakwaza, ila ni kitu kinachonifikirisha sana. Tunaweza kuamini nia na madhumuni ya wapangaji/wanaharakati wetu kwamba malengo yetu ni sawa na yao? Ni dhahiri kwamba wapangaji/wanaharakati hupokea pesa kutoka kwa mashirika mbali mbali ambayo yamehusika na uchochezi kwa maslahi yao. Money always complicates things. Kama maandamano haya kwa kuangalia tu hayatafanikiwa kuondoa CCM (3.5% Rule), je, wao wanapata nini kuchochea maandamano haya kwa kasi hii despite that?

Kwa mtazamo wangu... Maandamano yoyote yatakayopangwa pasipo kuwa na uhakika wa 3.5% ni sawa na kutoa kafara na kucheza na maisha ya Watanzania. Kama lengo ni kuondoa CCM anything short of that is failure. Na since maandamano is the strongest weapon in our arsenal, kweli tuchezee this weapon mara kwa mara kama hivi? Si mwisho wa siku itaishia kuwa butu? Kumbuka watu bado wana vidonda vya 29/10, lakini tangu hiyo 29/10 wameshaita maandamano mara mbili au sijui tatu, na yote yamebuma. Sasa kuna nini cha tofauti kuhusu haya? Binafsi sijaona, pengine mnielimishe. Lakini despite it, kuna watu watauwawa hiyo jumanne. Kwangu mimi hatia ya damu yao ipo juu ya CCM pamoja na wapangaji waliowaambia watoke pasipo mpango stahiki.

Kwa ninavyoona na ninachoshauri ni kwamba haya maandamano hayajapangwa vizuri vya kutosha, na inabidi ya hairishwe. Yapangwe mengine, maybe mwakani and in the meantime tutafute a channel ya kuplan, kudisseminate hiyo plan, kujenga imani ya watu, mpaka kumobilize hiyo 3.5%. Ningeshauri kuanza na migomo baridi baadala ya kutegemea tu siku moja. Hiyo siku ndo iwe crescendo, ila mziki ungeanza muda sana. Ila hii ya kutegemea ngome yaoo waliyoijenga kwa miaka 60 tutaitoa ndani ya siku moja, kwa kweli, sina imani nayo.

I know ipo nje ya uwezo wangu, na najua hamna kitakachobadilika, ila... Inanifikirisha sana. Tusubiri tuone hiyo Jumanne ijayo.

Kuna a sense of helplessness naiona kila nikienda mtaani nyusoni mwa karibia Watanzania wote tangu 29/10. Inasisikitisha sana na kunijaza uchungu. Ila natumani ipo siku tu, kila kirefu kina ncha. Sasa tujipange kurudisha tabasamu kwa wote. Mungu ibariki Tanzania.

Anyway. Sisemi haya kukatisha watu tamaa, ni mtazamo wangu tu. Feel free kutokubaliana na mimi, samahani kwa lolote nililosema ambalo litamkwaza yoyote. Best.
Tupo watu zaidi 4.55 milioni tuliojipanga kuwashughulikia wahuni wanaotaka kuharibu Mali zetu na wanafamilia wetu.
 
Unaandamana unataka nini? Nini hasa LENGO
Eti wanaandamana kupinga watu kutekwa na kuuwawa. Wana akili kweli hao?! Yaani mwanao au mama ako auwawe au atekwe halafu we uandamane?! Kwanini usisubiri waje wamteke na Baba yako pia?
 
Boss iko hivi huwezi kuchimba shimo ili ufukie shimo jingine… kama ndugu wametekwa unaandamana bila kibali au unachoma sheli unategemea nini… kuna Ajenda nyuma ya hizi hizo ni za juu juu tu
 
Back
Top Bottom