Siku moja bwana nilikuwa nipo out na familia yangu tupo zetu beach. Katoto kangu kanapenda sana maji and he wouldn't sit still mpaka aingie ndani ya maji. So nikamvisha kichupi akawa anachezea maji akiwa na wadogo zangu.
Sasa bwana, meza jirani kulikuwa na akina dada kama wanne hivi ambao umri wao sio chini ya miaka 40. Wamekaa zao wanajipa raha tu. Walionekana wastaarabu but that was all. I didn't pay much attention. Baada ya mda watoto wakasikia njaa so wakatoka ndani ya maji wakaja tukaagiza chakula.
Ile wanatoka ndani ya maji wale wadada wakaanza kuongea.' Aisee mtoto ana mashine akija kukua atakuwaje. Hapo amekatwa au? Atakuwa kafata kwa baba yake si bure. Kama kale kadada ndo mama yake basi kana raha'. Wakawa wanashangaa na sijui ni drinks kukolea, wakawa wanashangilia hasa.
Mpaka hapo nilikuwa sitaki kuamini so nikawa napuuza. It was unfathomable that full grown women would actually take time to discuss my little son's penis. I was angry, sad, disappointed. At one point I couldn't take it anymore... But I knew better than to confront a bunch of badly bleached women with false lashes, tonnes of make up and worn out lace wigs.
How do you sit and discuss a child. Mtoto wa mwaka mmoja na nusu. Its not that I am making a mountain out of a molehill but mtoto wangu anakua. Ina maana asiende swimming? Ama akienda avae chupi ya khaki? How is he supposed to react to those ugly comments?
It is not fair kwa kweli. Tujifunzeni kufikiria before we speak.
Aside from these immature comments about my son,Utakuta kabisa mtu amekaa anamsema mwenzie alivyo mbaya ama anamsema ulemavu wake. Mbaya umemuumba wewe? Aisee growing up tulifundishwa kuwa each of us is God's special creation. Therefore none of us is weak or ugly just because of some disability we might have. Utasikia 'pua kama ngumi'.... mara hiki, mara kile. No. It is not fair.
As a disappointed mother, and as I shake my damn head, I humbly submit.
farkhina,
Dark City,
OLESAIDIMU,
EMT,
masai dada,
sakapal,
Ntuzu,
Desert Storm,
Asprin,
Kaizer.
Kamanda Moshi,
Mndengereko,
Eiyer,
miss neddy,
King'asti watu8,
Mtambuzi, ....