MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,092 Aug 7, 2013 #1 People in Somali town " Kismayo" started eating Hyenas meat. www.muchonline.com Somalis started eating Hyenas meat (muchonline.com) - YouTube
People in Somali town " Kismayo" started eating Hyenas meat. www.muchonline.com Somalis started eating Hyenas meat (muchonline.com) - YouTube
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,092 Aug 8, 2013 Thread starter #2 ​Ha ha ha ha ha, kaazi kweli kweli, ngoja niwasubiri ndugu zao ha ha ha ha ha. Kuna dini fulani wanakula Mijusi.
​Ha ha ha ha ha, kaazi kweli kweli, ngoja niwasubiri ndugu zao ha ha ha ha ha. Kuna dini fulani wanakula Mijusi.
Gavana JF-Expert Member Joined Jul 19, 2008 Posts 33,635 Reaction score 8,952 Aug 8, 2013 #3 MaxShimba said: ​Ha ha ha ha ha, kaazi kweli kweli, ngoja niwasubiri ndugu zao ha ha ha ha ha. Kuna dini fulani wanakula Mijusi. Click to expand... MAXI SHIMBA KAKA ASWAD BAND Dullonet Tanzania | Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste akamatwa na viungo vya Albino.
MaxShimba said: ​Ha ha ha ha ha, kaazi kweli kweli, ngoja niwasubiri ndugu zao ha ha ha ha ha. Kuna dini fulani wanakula Mijusi. Click to expand... MAXI SHIMBA KAKA ASWAD BAND Dullonet Tanzania | Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste akamatwa na viungo vya Albino.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,240 Aug 8, 2013 #4 Jamani kwani hii biashara ya fisi si ilianza hapo somalia karibu mwezi wa 3 sasa, tena iliasisiwa na Alshabaab kama chanzo cha mapato na kupunguza njaa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Jamani kwani hii biashara ya fisi si ilianza hapo somalia karibu mwezi wa 3 sasa, tena iliasisiwa na Alshabaab kama chanzo cha mapato na kupunguza njaa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,092 Aug 8, 2013 Thread starter #5 Gavana said: MAXI SHIMBA KAKA ASWAD BAND Dullonet Tanzania | Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste akamatwa na viungo vya Albino. Click to expand... Mpe pole zake, maana huku kwa Yesu Mungu tunabatiza muhammadan kila kukicha Ona hapa Middle East & Africa - 6 Million Muslims accepting Christ! - YouTube
Gavana said: MAXI SHIMBA KAKA ASWAD BAND Dullonet Tanzania | Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste akamatwa na viungo vya Albino. Click to expand... Mpe pole zake, maana huku kwa Yesu Mungu tunabatiza muhammadan kila kukicha Ona hapa Middle East & Africa - 6 Million Muslims accepting Christ! - YouTube
ThinkPad JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,844 Reaction score 236 Aug 8, 2013 #6 hii issue ya lini tena?
babe S JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 3,879 Reaction score 20,859 Aug 8, 2013 #7 mh pole yao, especially kama wameamua kula fisi kwa sababu ya njaa! but eish........
E E Hazard Senior Member Joined Nov 6, 2014 Posts 170 Reaction score 40 Nov 24, 2014 #8 babe S said: mh pole yao, especially kama wameamua kula fisi kwa sababu ya njaa! but eish........ Click to expand... Ndio dunia ilivyo
babe S said: mh pole yao, especially kama wameamua kula fisi kwa sababu ya njaa! but eish........ Click to expand... Ndio dunia ilivyo
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,351 Reaction score 13,140 Oct 19, 2018 #9 Ushaambiwa ukizidiwa sana na njaa ukahisi kifo basi kula nyama au chakula kisicho halali kwani kitakuwa kimehalalishwa akwa sababu ya njaa yako
Ushaambiwa ukizidiwa sana na njaa ukahisi kifo basi kula nyama au chakula kisicho halali kwani kitakuwa kimehalalishwa akwa sababu ya njaa yako
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,521 Reaction score 272,230 Oct 20, 2018 #10 safi sana ! angalau mbuzi watakuwa salama sasa