Ni wenyewe tu kukaa kutafuta muafaka,lakini kwa sababu kikundi cha Al shabab kinasaidiwa na Al quieda, Osama Bin Laden ameishafariki nafikiri kitakuwa kimepungukiwa nguvu.
Ni inchi yenye dini moja ,lugha moja,ila tofauti zao ni makabila na nchi za Afrika ni chache Uganda na burundi ndo wamejitahidi kurejesha amani,ila tatizo ni watu wenyewe wa somalia mbona hawajamua kwa dhati kuitaka amani ?kweli dunia inakubali kuangali a somalia ikijizika?