Somali Pirates chini ya ulinzi wa NATO!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267
Somali pirates arrested in Gulf of Aden




Marines from NATO's Turkish frigate Gediz arrest suspected pirates on their skiff in the Gulf of Aden July 24, 2009. Five armed Somali pirates were caught in a high-speed chase by the NATO alliance's Turkish warship Gediz before an attack to a merchant vessel in the Gulf of Aden.









Marines from NATO's Turkish frigate Gediz arrest suspected pirates on their skiff in the Gulf of Aden July 24, 2009. Five armed Somali pirates were caught in a high-speed chase by the NATO alliance's Turkish warship Gediz before an attack to a merchant vessel in the Gulf of Aden​
 
Vitavitavitavitavita, afrika tutafika
 
Mwalimu wangu wangu wa shule ya msingi aliwahi kuniambia kwamba "Ukiona nyoka anamkimbiza Msomali basi shirikiana nae ili amuume msomali huyo kuliko kushirikiana na Msomali kuua nyoka maana msomali huyo atakuua wewe baada ya kumuua nyoka"...I respect things he taught and told me. I have proven him right always.
 

Sasa wewe utashirikianaje na nyoka, au ulimaanisha kushirikiana na CCM maana ndo nyoka-watu pekee ninaowajua.
 
Sasa wewe utashirikianaje na nyoka, au ulimaanisha kushirikiana na CCM maana ndo nyoka-watu pekee ninaowajua.
Aridity nazumgumzia nyoka wa ukweli na 'ubaya' wa kiujumla wa Wasomali. Kwa ufupi wasomali wamefanya unyama mkubwa kwao wenyewe(SOMALIA) na hapa kama unafahamu watu wengi (watanzania) wamepoteza maisha kwa kugongwa na malori yao hasa FIAT 682 yalikuwepo enzi hizo na wanaendelea kuua watu kwenye mbuga zetu za kaskazini ya tanzania ambako wanafanya "Poaching". In short hawa ni watu hatari na 'wakuogopwa'. Hatari kuliko nyoka. Hawa "nyoka watu wanaojivua magamba sijawaongelea hapa".
 
Story za vijiweni hizo, usilete humu.
 

Thanks for your post
 


hapa sasa kinaeleweka nami kwani wasomali sio vichaa wanakili hawa wazungu wamezi
big up walalos
 

huyo mwalimu wako alikuwa houseboy wa waarabu wasomali sio nyoka wanajua kktafuat haki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…