Mkuu si kila mtu humu anaweza ku-access jf kila siku hata kama ni member wa mda mrefu, vilevile pendekezo lako la kuwa wageni wasome link zilizopita siliafiki hata kidogo kwa kuwa hata wewe unajua ugumu wa kupitia thread zote kwa mpigo ili hali kila siku ya mungu thread mpya zinaingizwa jf. Sio lazima usome thread iliyoikuta imejirudia unaweza kuipotezea na wewe ukaandika ya kwako mpya ili utuongezee thread mpya.