Soma QT na Resittters 2019

Soma QT na Resittters 2019

Joined
Aug 9, 2017
Posts
65
Reaction score
24
Kituo chetu kimekuwa ni kimbilio la waliowengi kupata Elimu ya sekondari walioikosa kwa sababu mbalimbali. Ni miaka mitano sasa tunatoa huduma hii muhimu katika ujenzi wa Taifa letu.

Usione aibu, fika Ofisini kwetu Shule ya sekondari zanaki, piga 0692755311 au 0718 949 610.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2018 Kwa maelezo haya machache wafanyakazi wa umma walikuja kwetu na kuanza kusoma QT imani yetu wanafanya vizuri kwenye matokeo yao. Muda wa masomo kwa mchana 9:00-2:00 na jioni 17:00-20:00

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom