Malipo je...? na unasoma kwa muda gani?Waungwana mambo yamebadilika, sasa waweza soma oline na ukafika mbali na hii inawahusu hawa wanzangu namimi ambao muda wa kwenda darasani ni mgumu, option rahisi ni kusoma online. Leo nawaletea kozi ya bure na ya kulipia na ukapata Post Graduate Diploma ya Global Health Procurement and supply chain management toka Empower school of Health LLP ingia hapa http://www.empowerschoolofhealth.org/courses-calendar za bure ntapost pia
asante
Sasa mkuu mbona ada ni kubwa $3,500? Duh, asante lakini.fungua link hiyo, unasoma kwa miezi 11, malipo kwa installments, pia kuna sponsorship
Mbona vingi tu au una maana gani mkuu?MSUMENO UNAFAA SAAANA KTK JAMII .KWANI KUNA CHUO KINACHOTOA POST GRADUATE DEGREE?
NINAMAANA KWA MTU MWENYE DIPLOMA YA EDUCATION ANAWEZA KUSOMA POST GRADUATE .? NA VYUO GANI HUTOLEWA.NINA MDOGO WANGU ANA GPA 2.7 YA PHYSICAL EDUCATION and SPORTS JE ANAWEZA SOMA POST GRADUATE YA DEGREE? WAP?Mbona vingi tu au una maana gani mkuu?
Ukiwa na Ordinary Diploma (NACTE) na ufaulu wa GPA 3 unaweza kufikiriwa kudahiliwa/kusajiliwa Degree ya Kwanza. Kwa wale wenye Advanced diploma ndiyo walikuwa wanadahiliwa/wanasajiliwa post graduate (diploma au degree) lakini nafikiri serikali ilisimamisha hii diploma Huyo mwenye GPA ya 2.7 kama ni ordinary diploma kwa vigezo vipya hata degree ya kwanza hatadahiliwa. PostGraduate Diploma/degree unahitaji (Tanzania) degree ya kwanza au advanced diploma (ingawa sijui ufaulu wanaotaka).NINAMAANA KWA MTU MWENYE DIPLOMA YA EDUCATION ANAWEZA KUSOMA POST GRADUATE .? NA VYUO GANI HUTOLEWA.NINA MDOGO WANGU ANA GPA 2.7 YA PHYSICAL EDUCATION and SPORTS JE ANAWEZA SOMA POST GRADUATE YA DEGREE? WAP?