Soma kwa makini na utuambie umedondokea wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma kwa makini na utuambie umedondokea wapi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jilanga, Jul 26, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari zenu jamvin!
  Kwa utafiti ulofanya na tume Man & Psychological behaviours ya everest university U.S wamepata 3major groups of man in psychological perspective! Nayo ni kama ifuatavyo
  1.SANGUINE, Ni kundi la binadamu wenye baadhi ya sifa zifuatazo:
  A*>Ni binadam wasio kuwa na chemba ya hasira mioyo mwao, i'e ukigombana naye mara muda mfupi sana atakuwa hana kinyongo kabisa na wewe! Lakin pia hawana siri!
  B*>Ni watu wanaopenda utani mno! Hata umtanie vip hana shida na atakutania mpaka utaudhika
  C*>Wanaongozwa na hisia na mihemko i'e Likitokea tukio mfano msiba anaweza kuahidi rambirambi kubwa kuliko uwezo wake ilimradi anamihemko, baada ya mihemko ikiwa bado hajali hatolipa tena/fake promises! Ni watu wanaochochea migomo na kupotea fasta baada ya mihemko/hisia kutoweka! Waongeaji na si watendaji!
  D*>Wapo rough kupita maelezo, ukingia room kwake kila kitu shaghalabaghala!
  E*>They are very tolkertive! Akifika sehemu yeyote ndani ya muda mfupi ameshazoeleka! Wanatumiwa sana na mashushu/wapelelezi maana wapo kama wambee vile! Wakiwa watoto ni viherehere mno!
  F*>Hawana mipango maalum na misimamo, mfano akipanga kufanya kitu fulani ghafla ukimwambia acha twende hii anakubali fasta atakama hamna maslahi yoyote! Anapelekwa pelekwa as if hajijui!

  2. Kundi lingine ni MELANKOLE! Zifuatazo ni badhi ya sifa zao!
  A*> They are very serious all the time, no jokes, ukimtania kwake anahisi umemtusi, umemdharau, unakebehi na hakawi ku-react!
  B*>They are very smart wana mpangilio mzuri wa mambo yao kila idara
  C*>They are very conservative, akiamin kitu hata kama yuko wrong ni ngumu sana kumbadilisha!
  D*>Hawaongozwi na hisia/mihemko kukitokea tatizo huwa wanachelewa sana kufanya maamuzi na ikishafanyo no regret! Wagumu sana kutoa michango/wanaelement za ubahili
  E*>They are talkless, ukiwa naye anawekukuboa, ukimuuliza kitu anakujib inshort na anatulia, mpaka umsemeshe ndo aongee!

  F*>Wanauwezo mkubwa wa kutunza siri na hasira na hivyo huwa wanapatwa na matatizo ya Moyo ukubwana kutoka na Hasira kujaa moyoni!

  3. Kundi la tatu ni FREGMATIC Ambao wanabaadhi ya sifa za Sanguine pamoja na Melankole!
  Je wewe uko kundi gani be honest plz!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mimi nipo kundi la nne
   
 3. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Weka jamvin sifa zenu fasta!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  kumbe wewe dume?
   
 5. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh, madume ndo wapo hilo kundi? Je na wewe uko kundi gani?
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu kundi langu linajieleza wazi hapo juu
  mimi ni mtu very seriuos
  nipo very smart kwenye mambo yangu
  nikiona huendani na mimi nakupa push out
  sina rafiki na kama ukiwa rafik yangu utakuwa ni mtu smart sana
  mademu wengi wameniacha kwa sababu ya misimamao yangu
  sina muda wa kumsifia demu kama vipi aniache aondoke zake
  in general is me brother
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hamjanigusa bd na hizo research zenu
   
 8. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Hapo mi sina kundi
   
Loading...