Soma instruction kwanza umalize ndo uanze kufanya....

prince alen

Member
May 29, 2012
29
6
Jamaa alikuwa uwanja wa ndege akaingia ndani ya ndege kakuta kitabu kimeandikwa ‘‘jinsi ya kurusha ndege toleo la kwanza“
1.kuwasha bonyeza kitufe cha kijani“akabonyeza_ikawaka 2.kuondoka cha njano akabonya_ikaanza ku-run.3.kuruka chekundu akabonya_kitu kika enda hewa3
4.kuweka level blue akabonya_akackia “you are 10000 miles abov sea level“ akafunua kitabu...jins ya kutua..subiri toleo la pili..
 
mama weeee hahaha sasa atakuwa angani mpaka lini? Au mpaka dege lianguke kwakwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom