Soma hii

Soma hii

Fruit

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
193
Reaction score
54
1.Unamnunulia mke wako SIMU mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni mgawanyo wa majukumu
2.Unamlipia mke wako ADA ya Chuo, mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL, Huo ni mwingiliano wa mtandao
3.Unamnunulia mke wako CHUPI, mwanaume mwenzako ANAMVUA, huu ni mgawanyo wa Mapenzi
4. Unamwomba mke wako mfanye tendo la ndoa japo kwa dakika chache, mwanaume mwenzio anabembelezwa na mke wako wakalale mpaka asubuhi pindi unaposafiri.
Tafakari chuku hatua!!
 
Hapo umenena mkuu!hatuibiwi bali tunaibiana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom