K Kiwalani finest Senior Member Joined Jul 6, 2024 Posts 116 Reaction score 85 Apr 16, 2025 #1 Watu wasiotenda haki ni wengi na ni Makatili . Huisema haki huku wakiwa wanaichukia haki yenyewe. Ndiyo Maana kukiwa na mtu akiishabikia haki Waovu kwa uovu wao hukaa kimya wakisubiri habari za kijinga na za hovyo hovyo ili waziunge mkono
Watu wasiotenda haki ni wengi na ni Makatili . Huisema haki huku wakiwa wanaichukia haki yenyewe. Ndiyo Maana kukiwa na mtu akiishabikia haki Waovu kwa uovu wao hukaa kimya wakisubiri habari za kijinga na za hovyo hovyo ili waziunge mkono